Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

Mungu amekuongoza kujua uovu wake piga chini au mpasukie ajue kila kitu usiwe mnyonge itakugharimu, Wanaume tumekuwaje?

Hii mambo ya kusemea usiangalie simu ya mpenzi wako ni upuuzi tu haya ni maisha, lazima uwe ma moyo wa kupambambana na chochote
 
Dah huyu wa sasa hivi nataka na yeye aumie kidogo kama nilinavyoumia mimi.. siku nikipata backup lazima nimpige tukio
 
Mungu amekuongoza kujua uovu wake piga chini au mpasikie ajue kila kitu usiwe mnyonge itakugharimu, Wanaume tumekuwaje

Hii mambo ya kusemea usiangali simu ya mpenzi wako ni upuuzi tu lazima uwe ma moyo wa kupambambana na chochote
Soon mkuu namchana kila kitu.
 
Naelewa hyo hali,unakuta bila kubabua unahis mambo hayako sawa...nmekupa dawa ni kua na backup tu...kisha una mpiga tipa huyo mgawa utamu
Kabla ya week ijayo kuisha tayari nitakua na backup ya uhakika.. na this time sitakua faithful tena kwa mwanamke yyte..
 
Natafuta dem mwingine.. nikipata tu huyu napiga chini siku hio hio.
Una uhakika gan utakaye mpata atakua wako peke yako [emoji2376]? Tena pengine labd utaenda sehemu mbaya zaid ya ulipo [emoji3526]

Fikiri kabla ya kutenda [emoji2151] acha kukurupuka
 
Una uhakika gan utakaye mpata atakua wako peke yako [emoji2376]? Tena pengine labd utaenda sehemu mbaya zaid ya ulipo [emoji3526]

Fikiri kabla ya kutenda [emoji2151] acha kukurupuka
Ndio maana nimesema siangalii tena simu ya mtu.. atleast kushare bila kujua.. lkn ukijua inauma sana.. pia this time sitakua na dem mmoja tena.. hii itafanya hata mmoja akinicheat nisiumie sababu na mimi nina cheat
 
Dah yaani kwa miaka hii kuna mwanaume kaeli anajiaminisha kabisa kuwa mwanamke anamgegeda yeye peke😲😲😲
Kwa kweli vijana hamwajui hawa wanawake...mwanaume akishafika bei mbususu anaipata. Wako ukiwa nae akitoka kwako yoyote anaisasambua mbususu hiyo
 
Kwahio umeamua kunikatisha tamaa kabisa😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…