Hakunaga demu wa peke ako kwa hii Tanzania ,kikubwa omba tu hao wengine wanaomla wawe salama kiafya ,lasivyo tumia condom ,demu hata ungempa Nini Bado atachepuka tu ,Ni nadra Sana kumpata demu wa peke ako ukizingatia vijana Wana sifa balaa hasa akimiliki kijiusafir Cha m10 huwa wanasumbua Sana .
Sasa jiulize huyo demu wako hatok nje au hadhururi ,haendi sokon na je huko sokon hakuna wanaume.
Vuta picha jinsi ulivyomtaman wewe ndivyo na wengine watamtaman ,pia vuta picha namna alivyokukubalia ndivyo na mwingine atakubaliwa ,.
Note: Hakunaga mwanamke anayeruka mbele ya pesa au vijizawadi zawad vya hapa na pale.