Najuta kuhamia nyumba hii

mnh nna shaka na huyo mfanyakazi mwenzio mliekua mnajifungia nae ndani na kuzima taa.............m nadhani uliunge tu hapo kwa mfanyakazi mwenzio na ufanye kweli
 
mnh nna shaka na huyo mfanyakazi mwenzio mliekua mnajifungia nae ndani na kuzima taa.............m nadhani uliunge tu hapo kwa mfanyakazi mwenzio na ufanye kweli

hata mie na wasiwasi pia huyo dada anamtaka,sema mtoa mada inaelekea hawasomi vilivyo hao wadada wote wawili....
 
mpelekee gea habibhekaheka hiyo
 
Hama hiyo nyumba.Katafute nyumba sehemu yenye watu ambao wako level yako.
 
Naona kama umepanga uswahilini mno, tafuta nyumba maeneo ya kistaarabu zaidi. kwa maelezo yako maneno sioni ufumbuzi mwingine zaidi ya kuhama

mwambie aje apange huku mpwapwa. Hakuna uswahili.lol.
 
mnh nna shaka na huyo mfanyakazi mwenzio mliekua mnajifungia nae ndani na kuzima taa.............m nadhani uliunge tu hapo kwa mfanyakazi mwenzio na ufanye kweli

hahaha! Kwani kujifungia ndio hadi mdinyane!
 
Dawa ya mjinga ni kumyanazia kimya, we nyamaza na ikiwezekana hata salamu usimpe kabisaaaaaaaaa!! kwani akisema we unaumia?? au unachubuka??? mwache afurahishe domo lake we endelea na life kama kawaida mwisho wa siku atajiona yeye ndo mjinga. ukimuuliza ndo atajua unaumia. yote hayo ya nini? kaa kimya and mind your own business.
 
Naungana mkono moja kwa moja na Duda kwamba kuhama si suluhisho maana hujui huko utakapohamia pana nafuu gani...? Na kodi yako uliyolipa itakuwaje? Gharama za kuhama pia vp...? Na itakuwa kama umempa ushindi huyo mpashkuna maana umemkimbia. Cha muhimu ni kukaa kimya, uzuri una kazi yako fanya kazi kula bata kama kawa ishi maisha kama upendavyo usiwape nafasi ya kusema, maana sidhani Kama hayo maneno yanakuchubua au la. Usitoe hata nafasi ya kusikiliza nini kimesemwa. Hapo itakuwa umekata mzizi wa fitna.
 

Pole sanaa mkuu, mm yalinikuta hayo nikiwa ndo nimemaliza chuo na kupanga rum 1..mm aliyekuwa ananiwekea vitimbi ni maza house, tena nakumbuka siku nahamia hapo aliniuliza kijana unapenda kucheza mombasa au uarabuni..poor me I ddnt even notice what she meant, so after makeke kuzidi nikawa nakuja na gf wangu wee siku hiyo ndo nilihama maana alimwaga makoko mlangoni kwangu..nikasamehe kodi iliyobaki ya miezi miwili nikasepa..

So mkubwa hapo chapa lapa tuu ndo suluhisho lasivyo utakuja mchapaa makofi then uishie kolokoloni.
 
Mkuu hamia huku kwetu area D kwa wasure..hatuna mambo kama hayo utakaaaje chang'ombe wewe?
au unakaaa majengo?!!!
 
Code:
3. Last but not least, if the situation bothers you so much where do you  get time  and energy trying to fake a relationship ili ku-mtest!??

Jibu tumelipata hapa.......................kama mtu huna shughuli naye mbona unahangaika hivyo kujifanya una mtu kumbe ni sufuri...........ili kutikisa kiberiti huyo binti siyo mjinga kesha ona unamtaka acha kujivunga.........................
 
Dena umeniacha hoi leo...well...hilo nalo neno bt niapply ushauri wa Nemo,mpuuze! unalipa kodi nae analipa kodi kwisney!
 
Mi nashangaa kwa nii amnyime usingizi dem mwenyewe anaonekana mswahili tu anapiga domo, wewe unashughuli zako kwa nini akunyime usingizi?
 
Pole Mkuu
ndio walimwengu hao
achana nae endelea na shughuli zako mwisho atanyamaza
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>
pole sana kaka....anawatoto wa 3 !......mi nakushauri mlie gazi....mi yalikuta tanga mwaka 2008""""""" nilijafanya kama simsikii ayaongeayo
 
Hamia kule kulipolipuka mbomu nasikia nyumba nzima ya vyumba vitatu 20000 tu
 
mbona hayo mambo madogo?mnyamazie kimya,endelea na maisha yako,mwisho atachoka mwenyewe.ni yeye ndie anayeonekana mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…