BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Imani za kizamani sanakwa kumchapa nao ndo atakuwa kaharibu kabisaaaa, kwan anaweza kwenda kwa sangoma ili awe anamkabidh mshahara wote, hapo ni mawili tu, 1. Kuchapa lapa 2. Kumchunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani za kizamani sanakwa kumchapa nao ndo atakuwa kaharibu kabisaaaa, kwan anaweza kwenda kwa sangoma ili awe anamkabidh mshahara wote, hapo ni mawili tu, 1. Kuchapa lapa 2. Kumchunia.
<br />Umeona eeeee kama dena alivosema am mbeto tu atafunga domo lake
Ndio dawa yake hiyo maana akishafanya vile itabaki heshima na adabu.mdomo wote utanywea<br />
<br />
Ha ha BB bana umenichekesha kweli mtundu wewe nimecheka mpaka nimelia
<br />Ndio dawa yake hiyo maana akishafanya vile itabaki heshima na adabu.mdomo wote utanywea
Hahahahahaha toto tunduUmeona eeeee kama dena alivosema am mbeto tu atafunga domo lake
Anataka dudu huyo hana lolote, hama kwani nyumba za kupanga ziko nyingi sana
Wee usituzuge watu wazima, eti mkae na demu mnatizama Tv kwa sauti ya chini thubutuuu, ww umemtafuna huyo na huyo mwingine utamtafuna tu. suluhisho ni kuhama kakae maeneo ya hadhi yako sio uswahilini huko kajamba nani.
Dogo ushapewa mawazo ya kutosha...fanya maamuzi sasa.Au mnasemaje?