Najuta kuingalia video ya Joshua

Wewe bwana acha kelele zako hapa! Waambie ndugu zako Israel sio sehemu salama ya kwenda cos eneo yalipo mashamba ya Kibbutz ni karibu kabisa na Gaza.
 
Mbaya sana nilikuwa natembea huku nafungua video nilijikuta nasimama kwa mshangao ktkt ya brbr huku machozi yakinitoka kama mtoto
Walaaniwe wote waliofanya ukatili huu na nawaombea kwa Mungu roho za marehemu zipumzike kwa Amani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Iko apo iyo video
 
Huyo kijana alijiunganisha na kina nani ?...mbona unahalalisha huu unyama aisee au kwa sababu sio ndugu yako?.

...kosa la huyo kijana ni lipi?, litaje basi kama unalifahamu maana unazunguka tu.

Ujuaji ukizidi ni ujinga...
 
Nimeumia mnoooo
Eee Mungu tuhurumie wape faraja familia ya Joshua[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nimeumia mnoooo
Eee Mungu tuhurumie wape faraja familia ya Joshua[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Tundu Lissu ni jitu la ovyo Sana baada ya kuangalia hiyo video ya mauaji ya Joshua, alafu Lissu anaunga mkono HAMAS nimemchukia kuanzia leo
 
Tundu Lissu ni jitu la ovyo Sana baada ya kuangalia hiyo video ya mauaji ya Joshua, alafu Lissu anaunga mkono HAMAS nimemchukia kuanzia leo
Judgement na mustakabali wa upinzani mnaweza kuutafsiri kwa roho ya huyo jamaa wa haki za faragha.
TENA MSIWAPE HATA KURA MOJA HAO WATU, HII NI KUKOSA UZALENDO NA KUTOKUWA NA HURUMA KWA MTANZANIA MWENZETU, OVYO KABISA!,
(msimamo wa kiongozi ndio msimamo wa chama chake)
 
Makonda Yuko South Africa anamtibia Mke wake kwenye huduma Bora za afya, wewe na kenge wenzako subiri mfie Mloganzila na Muhimbili.
 
Ambao hatujaiona tunaomba muiweke pia tuione, ni kwa nia njema ya kutunza kumbukumbu.

Aidha,ingefaa tukafanya maandamano ya kushinikiza balozi wa Palestina aondoke Tanzania mara moja.
 
Nilikuwa namheshimu sana Lissu, ila tangu aongee mashudu kuhusu Israel-Palestine crisis heshima hiyo ameipoteza. Nasikitika kumuunga mkono miaka yote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…