Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Ni wa dini yako ya mnyaaziPunguza unafki haitokusaidia kitu kueneza uongo wale sio hamas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wa dini yako ya mnyaaziPunguza unafki haitokusaidia kitu kueneza uongo wale sio hamas
TUNDU LISSU ALITAKA KUULIWA HAPA HAPA TZEE KWA RISASI NYINGI SANA.
Wewe bwana acha kelele zako hapa! Waambie ndugu zako Israel sio sehemu salama ya kwenda cos eneo yalipo mashamba ya Kibbutz ni karibu kabisa na Gaza.Mzuka wanajamvi.
Najuta kuingalia hii video ya kaka yetu Joshua Mollel aliyetekwa na kuuwawa kikatili bila huruma huku hawa waliofanya mauaji hayo wakishangilia na kumtukuza Mungu wao.
Imenifanya niwe na trauma na chuki dhidi ya hawa binadamu. Sina uwezo tu ila nawaombea laana na kamwe hawatakuwa huru.
Kuanzia leo sitachanganyikana na Mwarabu yoyote wala kusalimiana hata akiwa Mkristo. Sitanunua bidhaa yoyote inayozalishwa na Mwarabu yoyote.
Sitaenda tena kwenye mabucha yao ya halal na migahawa yao ya mipizza kebab.
Nimejisikia vibaya sana. Furaha yangu sasa hivi Palestina kamwe isiwe huru na haitakuwa huru.
R.I.P Joshua na Clemence wakulima namba moja. Msijali mtalipiziwa kisasi tu.
Damu ya wakulima namba moja Joshua na Clemence haitapotea hivihivi nawahakikishia.
Iko apo iyo videoMzuka wanajamvi.

Kwani Joshua (Rip) hakupaswa kuwa wapi ?Lazima watu wajue kuna mahali haupaswi kuwepo na
Huyo kijana alijiunganisha na kina nani ?...mbona unahalalisha huu unyama aisee au kwa sababu sio ndugu yako?.wapi nimesema kauliwa sababu ni mkristo? Au nioneshe ni wapi nimesema kauliwa kwa sababu gani.
Hakuna kitu hatari kama kujifungamanisha na makundi au mataifa yenye migogoro kwenye hii dunia.
Hichi ni kitu ambacho lazima watanzania waelezwe na wakifahamu. Tumejisahau sana tunaona huko dunia ni kama Tanzania. Matokeo yake tunaangukia kwenye matatizo makubwa sana.
Unakuta gari tena basi la abiria 50+ lina sticker za bendera ya Israeli, likipigwa bomu watu waanze kulaani bila kujua chanzo ni nini.
NB: Tuachane na habari za kujionesha kuwa tumehuzunishwa sana na solution ni kulalamika. Bali tukae chini tufuatilie na kutafakari, ilikuwaje huyu ndugu yetu katendwa hivi, hii itasaidia tujue na wengine waliopo huko na maeneo mengine duniani waishi vipi.
Watu wenye akili hawaangalii matokeo wakaridhika, wanaangali chanzo cha hayo matokeo ili kama ni yakuzuia ifahamike tuzuie wapi na kama ni yakuendeleza ifahamike tuendeleze wapi.
Watanzania tunapenda sana mambo ya hewana na hisani wakati dunia hii haina huruma.
Allah ndio anafurahi 😀😀😀Dogo kauliwa kikatili sana
Judgement na mustakabali wa upinzani mnaweza kuutafsiri kwa roho ya huyo jamaa wa haki za faragha.Tundu Lissu ni jitu la ovyo Sana baada ya kuangalia hiyo video ya mauaji ya Joshua, alafu Lissu anaunga mkono HAMAS nimemchukia kuanzia leo
Makonda Yuko South Africa anamtibia Mke wake kwenye huduma Bora za afya, wewe na kenge wenzako subiri mfie Mloganzila na Muhimbili.Judgement na mustakabali wa upinzani mnaweza kuutafsiri kwa roho ya huyo jamaa wa haki za faragha.
TENA MSIWAPE HATA KURA MOJA HAO WATU, HII NI KUKOSA UZALENDO NA KUTOKUWA NA HURUMA KWA MTANZANIA MWENZETU, OVYO KABISA!,
(msimamo wa kiongozi ndio msimamo wa chama chake)
Nilikuwa namheshimu sana Lissu, ila tangu aongee mashudu kuhusu Israel-Palestine crisis heshima hiyo ameipoteza. Nasikitika kumuunga mkono miaka yote ile.Judgement na mustakabali wa upinzani mnaweza kuutafsiri kwa roho ya huyo jamaa wa haki za faragha.
TENA MSIWAPE HATA KURA MOJA HAO WATU, HII NI KUKOSA UZALENDO NA KUTOKUWA NA HURUMA KWA MTANZANIA MWENZETU, OVYO KABISA!,
(msimamo wa kiongozi ndio msimamo wa chama chake)