Najuta kuingalia video ya Joshua

Najuta kuingalia video ya Joshua

Sijaiona hata mwanzo, na hata ningeipata sitaki kuangalia, najijua, nitapata msongo wa mawazo mwaka mzima..
Mimi i took it easy, lkn it all destroyed my day mbaya zaidi namjua huyu dogo na familia yake na makazi yao..... najua struggling alizopitia Mwalimu Mollel kwa huyu dogo ....so paining aisee
 
Kuna wafia dini wa kwa mparange kati walikua wanataka waandamane kupinga uvamizi wa israeli.Sasa wameona roho za hao wanao watetea mwanarabu.RUSSIA IMEVAMIA UKRAIN lakini ikawajibika kuwasafirisha ndugu zetu na wakafika salama sasa hawa mbwa mamaaaee zao yaan wanamuua ndugu yetu km kuku imeniuma sana na wanamsifu mwalimu wao wa ushetani kwamba yy ni mkubwa....fucken kabisa
 
Mzuka wanajamvi.

Najuta kuingalia hii video ya kaka yetu Joshua Mollel aliyetekwa na kuuwawa kikatili bila huruma huku hawa manyani wakishangilia na kumtukuza mungu wao.

Imenifanya niwe na trauma na chuki dhidi ya hawa binadamu.

Sina uwezo tu ila nawaombea laana na kamwe hawatakuwa huru.

Kwaanzia leo Sitachanganyikana na mwarabu yoyote wala kusalimiana hata akiwa mkristo.

Sitanunua bidhaa yoyote inayozalishwa na mwarabu yoyote.

Sitaenda tena kwenye mabucha yao ya halal na migahawa yao ya mipizza kebab.

Nimejisikia vibaya sana. Furaha yangu sasa hivi Palestina kamwe isiwe huru na haitakuwa huru.

R.I.P Joshua na Clemence wakulima namba moja. Msijali mtalipiziwa kisasi tu.

Damu ya wakulima namba moja Joshua na Clemence haitapotea hivihivi nawahakikishia.
Nenda kaoshe masufuria wewe,
Si ulikua unafurahia Israel walipokua wanaua raia wasio na hatia wa Gaza? Ulikua unafurahia wakilipua Hospitali na refugee camp? Kama ulivyoumia wewe basi Wapalestina wameumia miaka na miaka kwa raia wasio na hatia kuuliwa na hao mabwana zenu,

Kama unaumia kwa raia kuuawa basi uumie kwa raia wote na sio kubagua,huo ni unafiki tu.
 
Mzuka wanajamvi.

Najuta kuingalia hii video ya kaka yetu Joshua Mollel aliyetekwa na kuuwawa kikatili bila huruma huku hawa manyani wakishangilia na kumtukuza mungu wao.

Imenifanya niwe na trauma na chuki dhidi ya hawa binadamu.

Sina uwezo tu ila nawaombea laana na kamwe hawatakuwa huru.

Kwaanzia leo Sitachanganyikana na mwarabu yoyote wala kusalimiana hata akiwa mkristo.

Sitanunua bidhaa yoyote inayozalishwa na mwarabu yoyote.

Sitaenda tena kwenye mabucha yao ya halal na migahawa yao ya mipizza kebab.

Nimejisikia vibaya sana. Furaha yangu sasa hivi Palestina kamwe isiwe huru na haitakuwa huru.

R.I.P Joshua na Clemence wakulima namba moja. Msijali mtalipiziwa kisasi tu.

Damu ya wakulima namba moja Joshua na Clemence haitapotea hivihivi nawahakikishia.
Si upo Denmark wewe mbona mawazoyako kama upo Nyarugusu...hivi hujawahi kuona wasouth Africa wakifanyia unyama waafrika wenzao??? Au chuki zako ni kwa hao wapambania uhuru wao...Kama si unyama na ukandamizaji wanaoufanya Israel hayo yangetokea?? Hapo ulipo kwa wenye akili mbona kilasiku wanaandamana on behalf of Palestina?? Huna uwezo wa kukwepa madukayao ya halali labda uhame na urudi Nyarugusu.
 
Kuna wafia dini wa kwa mparange kati walikua wanataka waandamane kupinga uvamizi wa israeli.Sasa wameona roho za hao wanao watetea mwanarabu.RUSSIA IMEVAMIA UKRAIN lakini ikawajibika kuwasafirisha ndugu zetu na wakafika salama sasa hawa mbwa mamaaaee zao yaan wanamuua ndugu yetu km kuku imeniuma sana na wanamsifu mwalimu wao wa ushetani kwamba yy ni mkubwa....fucken kabisa
Uliwahi kuwalaumu Israel kuua raia wasio na hatia huko Gaza?
 
Si upo Denmark wewe mbona mawazoyako kama upo Nyarugusu...hivi hujawahi kuona wasouth Africa wakifanyia unyama waafrika wenzao??? Au chuki zako ni kwa hao wapambania uhuru wao...Kama si unyama na ukandamizaji wanaoufanya Israel hayo yangetokea?? Hapo ulipo kwa wenye akili mbona kilasiku wanaandamana on behalf of Palestina?? Huna uwezo wa kukwepa madukayao ya halali labda uhame na urudi Nyarugusu.
Hawa watu ni wanafiki sana,yule mbongo aliyeuawa huko kwenye vita ya Ukraine na Russia mbona hatukuona ubaguzi wa kubagua mpaka Dini? Huu ni unafiki tu.
 
Nahisi km uko Tanganyika ni vigumu kumkwepa bakhresa! Usinunue chochote kitu kutoka kwa huyu jamaa unahitajika ujairi zaidi ya ule wa kuchomoa na kumwaga nje mkuu.
Kwa sasa mfumo wa soko ulivyo unaweza mkwepa vizuri tu kwa sababu kila anachozalisha kinaushindani sokoni kasoro bidhaa zao za media ..Ila za matumizi nyumbani nikuhakikishie kuna sehemu hata Dar bidhaa zake madukani hawajaweka.
 
Tena at a close range. He was desperately pleading for his dear precious life. But hey turned a deaf ear at him and a blind eye on him and decided to mercilessly spray bullets on his lifeless body.
So sad bro, sometimes life is useless, naimagine alikua anaomba nini ile moment anawekewa AK47 kifuani mwake then jamaa anamfyatulia risasi bila huruma for no reason, nawaza kosa lake ni lipi? Kua israel? Sisi tumeumia kiasi hiki vp ndugu na wazazi wanaendeleaje baada ya kuona hii clip ya mpendwa wao akiuwawa kinyama?
 
Kuna wafia dini wa kwa mparange kati walikua wanataka waandamane kupinga uvamizi wa israeli.Sasa wameona roho za hao wanao watetea mwanarabu.RUSSIA IMEVAMIA UKRAIN lakini ikawajibika kuwasafirisha ndugu zetu na wakafika salama sasa hawa mbwa mamaaaee zao yaan wanamuua ndugu yetu km kuku imeniuma sana na wanamsifu mwalimu wao wa ushetani kwamba yy ni mkubwa....fucken kabisa
Dunia mzima kwa wenye akili wanaandama kwa vile hujui lugha ndio maana, haihusiani na udini ni Humanity wanaoandamana sio waislam ni wazungu.endelea kusikiliza TV Mariya
 
Hadi pale tutapoacha kuweka udini, ukabila, utaifa au ethnicity mbele ya utu. Dunia itabadilika

Hiyo video imenihudhunisha lakini haijanifanya nisahau kuwa hapo congo tu watu wanafariki daily na pale vita zinapoanza. Watu wanachukua upande na kushabikia as if wanaokufa humo ni Kuku au nyoka ambao uhai wao hauthaminiki

Tuache ushabiki kwenye maisha ya watu, tusisubiri uathiriwe ndio ujue uchungu wake. Sisi sote ni binadamu
 
So sad bro, sometimes life is useless, naimagine alikua anaomba nini ile moment anawekewa AK47 kifuani mwake then jamaa anamfyatulia risasi bila huruma for no reason, nawaza kosa lake ni lipi? Kua israel? Sisi tumeumia kiasi hiki vp ndugu na wazazi wanaendeleaje baada ya kuona hii clip ya mpendwa wao akiuwawa kinyama?
Mkuu hata wapalestina hua wanaumia hivyo hivyo watoto wao wanavyouliwa na Israel miaka na miaka.
 
Attachments

  • Screenshot_20231217-222152_Instagram.jpg
    Screenshot_20231217-222152_Instagram.jpg
    227.2 KB · Views: 3
Mzuka wanajamvi.

Najuta kuingalia hii video ya kaka yetu Joshua Mollel aliyetekwa na kuuwawa kikatili bila huruma huku hawa manyani wakishangilia na kumtukuza mungu wao.

Imenifanya niwe na trauma na chuki dhidi ya hawa binadamu.

Sina uwezo tu ila nawaombea laana na kamwe hawatakuwa huru.

Kwaanzia leo Sitachanganyikana na mwarabu yoyote wala kusalimiana hata akiwa mkristo.

Sitanunua bidhaa yoyote inayozalishwa na mwarabu yoyote.

Sitaenda tena kwenye mabucha yao ya halal na migahawa yao ya mipizza kebab.

Nimejisikia vibaya sana. Furaha yangu sasa hivi Palestina kamwe isiwe huru na haitakuwa huru.

R.I.P Joshua na Clemence wakulima namba moja. Msijali mtalipiziwa kisasi tu.

Damu ya wakulima namba moja Joshua na Clemence haitapotea hivihivi nawahakikishia.
ameuliwa na HAMAS makasiriko unaleta kwa wapalestina wote

Foolish
 
Hadi pale tutapoacha kuweka udini, ukabila, utaifa au ethnicity mbele ya utu. Dunia itabadilika

Hiyo video imenihudhunisha lakini haijanifanya nisahau kuwa hapo congo tu watu wanafariki daily na pale vita zinapoanza. Watu wanachukua upande na kushabikia as if wanaokufa humo ni Kuku au nyoka ambao uhai wao hauthaminiki

Tuache ushabiki kwenye maisha ya watu, tusisubiri uathiriwe ndio ujue uchungu wake. Sisi sote ni binadamu
Atleast wewe umeongea point,hapo South kila mara wabongo wanakula chuma kwa kubaguliwa tena bila kua na vita,weusi kila mara wanachula chuma ndani ya US.
 
Back
Top Bottom