Najuta kuingalia video ya Joshua


Umemjibu vyema kabisa, sema kuna watu wanachuki ndani ya nyoyo zao.
 
Ndio mjuwe sasa Israel ndio inajuwa namna Bora ya kudeal na Waarabu na kuangamiza mazalia yake.
Dogo kauawa kwa ngozi yake maana waliona hana thamani.
Raia wa Marekani hawajaachiwa sababu ya thamani yao
 
Mimi i took it easy, lkn it all destroyed my day mbaya zaidi namjua huyu dogo na familia yake na makazi yao..... najua struggling alizopitia Mwalimu Mollel kwa huyu dogo ....so paining aisee
Ni kweli inauma ila tutafanyaje sasa ndo ishatokea
 
Inaumiza sana, na inasemekana alijaribu kujitetea kwamba yeye wala sio Muisrael, ni mwanafunzi tu wa Kitanzania ametumwa na serikali kwenda kusoma kule, wakampiga sana, mwishoni wakamuua. mibaba yote hiyo inashambulia katoto kamoja tu. very innocent. na bado kuna watanzanai wanasema tuandamane kwa ajili ya wapalestina, na bado Tanzania kuna ubalozi wa palestina. usio na faida yeyote.
 
Inaumiza Sana na kutia hasira

1 Umeumia sawa hatukatai, hata mimi pia nimeumia kwa kijana wetu,, lakini tuna uhakika gani kama ni mollel huyo?

2 Tuna uhakika gani kama ni Hamas hao, na sio wazayuni!

Nyie watu wa ajabu sana, mlifurahia vifo vya watu wasio na hatia huko Gaza, kana kwamba waliopoteza watoto, wazazi, walimu, wanafunzi sio binadamu! Kana kwamba hawaumii!

Chaliifrancisco amemuuliza mleta mada maswali yaliyoenda shule, aje na majibu, na sio kupandikiza watu chuki, unatuletea clip wakati hana uhakika kama ni mtz, hana uhakika kama ni hamas. Akili ya wapi hiyo!
 
Tukianza kutangaza kuchukiana pamoja na kutishiana maisha.
Hatutofika mahali.
Kwanza our country haina historical background na dini yoyote.
Tuache ufia dini, na tusimame katika ubinadamu.

Unapochekelea leo mtu kuuawa kumbuka kesho inaweza kurudi kwako na watu wakacheka vilevile.

Tusimame kupinga hizi vita.
Tuungane kutafuta suluhu ya kudumu ya hizi vita.

Yoyote anayeshangilia mtu kufa haijalishi anashabikia upande gani huyo mtu ni wa kumpiga.

Nachukia wote haijalishi muislamu au mkristo au budha au mtu mwingine yoyote mwenye imani anayeunga mkono machafuko ya kivita.
 
Acha unafiki Alah anachinja watu na kufurahia ..Lwakubaru Lwakubaru Lwakubaru baada tumkemee unaleta Siasa .


Chuku mauaji source ni Shetani na Shetwaani achekewi au kubembelezwa

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Acha unafiki Alah anachinja watu na kufurahia ..Lwakubaru Lwakubaru Lwakubaru baada tumkemee unaleta Siasa .


Chuku mauaji source ni Shetani na Shetwaani achekewi au kubembelezwa

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu nimekuelewa ila tambua siko jf kubishana na kuimbe chochote.
Nikutakie kheri na fanaka katika mabishano yako.
 
Na maanisha ipo namna alikuwa kizuizi kwao, sasa ni namna gani alikuwa kizuizi mimi sifahamu bado. Ila wao sio wajinga kiasi hicho.

Bila hata kufahamu maneno angalia tu body language ya hao jamaa. Hawajamkurupukia tu. Kwani Israeli mtu mweusi ni yeye pekeyake?, sasa kwanini yeye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…