Mkaldayo, taarifa zipo kuwa dogo amekufa. Sasa maswali yangu kuhusu credibility ya source ya hiyo video umeshindwa kuyajibu.
Je ndio yeye kweli huyo Joshua kwenye video?
Je hao wanaooneka kwenye video ni kweli ni HAMAS?
Tupe chanzo kilicho verify hiyo video. Ubalozi wa TZ huko Sayuni wamethibitisha hiyo video?
Sirikali ya wasayuni wamethibithisha hiyo video?
Hamkawii kesho kuanza kusema Joshua yupo salama na ile video ilukuwa ya raia wa Ghana akiteswa na kuuwawa na IDF.
Au kweli alikuwa Joshua ila pale chini alianguka tu ila hakuwa amekufa. Maana video imekuwa sensored kwa kinjiwa haionekani mahali mtu akiuwawa kwa risasi au panga. Inaonyesha tu mtu akivutwa na mwisho kalala chini.
Haijaonyesha kama yupo decapitated. Bali yupo tu kalala chini.
Nani anauhakika alielala chini amekufa?
Nani ana uhakika alielala chini ni Joshua?
Hakika hakuna mwenye jibu.
Mimi sio kwamba siumizwi na mtanzania kuuwawa kama inavyosemekana ila I don't easily jump into bandwagons bro.
I have my brains and I put them into use.