Najuta kuingalia video ya Joshua

Najuta kuingalia video ya Joshua

Mkuu kwahiyo ile body camera ni fake????
Duuuh udini mzigo
Udini upi nimetaja dini? Ile rocket waliodai ililipua hospital hukuona !?

Una hakika ngapi na maelezo hayaendani
20231218_101513.jpg
 
Udini upi nimetaja dini? Ile rocket waliodai ililipua hospital hukuona !?

Una hakika ngapi na maelezo hayaendaniView attachment 2845984
Ndio maana kwa akili hizi hata hawa nyau tunawaita ni waislam.
Kwahiyo hii boxer ya combat ndio imefanya dogo rasmi kuwa mwanajeshi wa israel!!!!

Tutakataaje sasa kwamba si kila anayepiga yowe"Allah akbar"ni muislam ikiwa hiyo ni lugha ya kiislam??
 
Mzuka wanajamvi.

Najuta kuingalia hii video ya kaka yetu Joshua Mollel aliyetekwa na kuuwawa kikatili bila huruma huku hawa waliofanya mauaji hayo wakishangilia na kumtukuza Mungu wao.

Imenifanya niwe na trauma na chuki dhidi ya hawa binadamu. Sina uwezo tu ila nawaombea laana na kamwe hawatakuwa huru.

Kuanzia leo sitachanganyikana na Mwarabu yoyote wala kusalimiana hata akiwa Mkristo. Sitanunua bidhaa yoyote inayozalishwa na Mwarabu yoyote.

Sitaenda tena kwenye mabucha yao ya halal na migahawa yao ya mipizza kebab.

Nimejisikia vibaya sana. Furaha yangu sasa hivi Palestina kamwe isiwe huru na haitakuwa huru.

R.I.P Joshua na Clemence wakulima namba moja. Msijali mtalipiziwa kisasi tu.

Damu ya wakulima namba moja Joshua na Clemence haitapotea hivihivi nawahakikishia.
Punguza unafki haitokusaidia kitu kueneza uongo wale sio hamas
 
Mkuu kwani waarabu hawafanyi unyama kwa wayahudi,,,sema wameshindwa tu kufikia malengo yao ya kuwaua wayahudi dunia nzima kisa sio waislamu.
NB: TATIZO LA WAARABU NA WAISLAMU NI UNAFIKI WA HISTORIA
Historia inatueleza kuwa mtu aliyewaua mayahudi kwa mamilioni ni Hitler na dini yake alikuwa mkristo na si waarabu.
 
Hatuwezi kataa hitler kuwa mkristo,ila tutakataa matendo yake milele kuwa ya kikristo na hatumsifu hata mara moja kwa hilo ni muuaji.

Na wala alipofanya kwa kufanikiwa hatuwezi kupahusisha na ukristo,tutapataja kama moja ya mafanikio ya mikakati yake tu.
 
Kibaraka wa israel kwani nan kafurahi ?
Hamas n magaidi hâta ndani ya Palestine yenyewe,Hamas wamejitwalia dola ndani ya dola halali ya Palestine,yaani yenyewe Yana serikali yao ndani ya serikali ya Palestine ni ugaidi WA Waz Waz,ndio maana Palestine hatuna Shida não,tunalaani hayo magaidi yanayoua Mtz mwenzetu
 
Hujui kitu bado katika hii Dunia,kwa akili hii utatawaliwa kifikra mpaka siku yako ya kufa,Watu wanapigania ardhi yao kisha wewe unaleta porojo hapa? Wapalestina hawatoki Palestina kama wakimbizi ili kumuachia ardhi yao yahudi bali wataishi kwenye ardhi yao.
Ardhi gan? MBNA Palestine hapigani ispokuwa Hao magaidi ya Hamas ? Au hujui kuwa kuna tofauti Ya Palestine na Hamas?
 
Mzuka wanajamvi.

Najuta kuingalia hii video ya kaka yetu Joshua Mollel aliyetekwa na kuuwawa kikatili bila huruma huku hawa waliofanya mauaji hayo wakishangilia na kumtukuza Mungu wao.

Imenifanya niwe na trauma na chuki dhidi ya hawa binadamu. Sina uwezo tu ila nawaombea laana na kamwe hawatakuwa huru.

Kuanzia leo sitachanganyikana na Mwarabu yoyote wala kusalimiana hata akiwa Mkristo. Sitanunua bidhaa yoyote inayozalishwa na Mwarabu yoyote.

Sitaenda tena kwenye mabucha yao ya halal na migahawa yao ya mipizza kebab.

Nimejisikia vibaya sana. Furaha yangu sasa hivi Palestina kamwe isiwe huru na haitakuwa huru.

R.I.P Joshua na Clemence wakulima namba moja. Msijali mtalipiziwa kisasi tu.

Damu ya wakulima namba moja Joshua na Clemence haitapotea hivihivi nawahakikishia.
Screenshot%20(174).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm siichukii dini lkn waarabu hapana aisee nawachukia sana wale viumbe
 
Nikimuangalia ni Mmaasai na kuna hii kasumba ya watanzania baadhi hasa wa ukanda wa kaskazini kujiita wayahudi weusi au wayahudi waliopotea na kujinasabaisha na israeli, sio ajabu na huyu alikuwa huko. (Sijasema nimewaza
Nonsense
 
Back
Top Bottom