Dudu langu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2026
- 294
- 826
Sifanyi kazi za kuvaa uniform 🥋 kama nipo shule ya msingi vikindu....Hiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona
Ama kweli najuta kuwa polisi
Hayo yatajulikana baadae muhimu familia imenda choo basiii.Hela ya rushwa uipeleke nyumbani ukale na mke na watoto wako ni haramu na najisi Sheikh,
Sio bure watoto wa Mapolisi huwa hawafiki mbali...wanaharibika kwa kuwa wavuta bangi au Malaya
Hapana usiishie hapo kwamba wameshiba tu, kuna consequences kwa kuwalisha watoto pesa haramu kila sikuHayo yatajulikana baadae muhimu familia imenda choo basiii.
Daah haya maisha ukiyafiria sana bila kuw na pesa hutoboiKutokana na nature ya kazi yao. Jambo la msingi ni kufata taratibu zote.
Haya ni matokeo ya nchi kuongozwa na mwanamke tena muislamu...mambo yanakuwa ya kianithi tuHiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona
Ama kweli najuta kuwa polisi
Kazi ya kipumbavu sana hiyo
Pesa ni jawabu la mambo yote kaka!Daah haya maisha ukiyafiria sana bila kuw na pesa hutoboi
Naunga mkono hoja.Achana nayo
Pole afande. Kazi ya Upolisi ni kazi njema ikitekelezwa vyema. Kuna mahali nilisoma (Bible ) Askari walimwuliza ...... naye akawajibu “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishaharaHiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona
Ama kweli najuta kuwa polisi
KuuubaHiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona
Ama kweli najuta kuwa polisi
Police General orderUnaijua PGO?
Vipi wakuu wakimwambia awe anawapelekea mgao?Pole sana mkuu 😂 Wew fuata sheria na taratibu za police, no kupokea rushwa... Wasikilize wakuu
Mifumo ikiwekwa sawa wataenjoy maisha ila kwa sasa kazini kwao kuna kazi nzito!Ushirikina, kurogana huko,kuchongeana kwa wakubwa, Uchawa
Mie kama ni kuwa Mtumishi wa serikali ningependa kuwa Mwalimu au Mkandarasi kwasababu ya uhuru wa kufanya mambo mengine
Ila hizi za jeshi na Usalama hapana, unaweza usilale hata wiki nzima🤣
Unavulia Mwanza sehemu gani mkuu?Njoo huku mwanza tuvue samaki mkuu
Dhambi yenu kubwa ni pale mnaposaidia kikundi cha majizi, mafisadi, wahuni, kuiba uchaguzi na kushinda kinyume na matakwa ya umma.Hiii sio kazi ni presha
Kila mtu boss wako
Unakaa kwa Machale
Kazini chuki, mtaani chuki
Rushwa kila kona
Ama kweli najuta kuwa polisi
Yangelia mbwata...Asikia siku hizi kima cha chini cha mshahara ni milioni nne je ni kweli?