Na ole wake akiombwa akatae. Hakuna rangi ataacha kuona hapo kituoni.Na rafiki yangu polisi ali nunua piki piki yani haendi nayo kazini ana i paki mbali na kituo chake ana hofia kuombwa ombwa na wakubwa afu hawa changii mafuta
Ila corrasco akili zako 😀😀😀
Mbona hujasema umri wala jinsia?Ndio nshatangaza yeye a apply tu. Mwambie asisahau passport sizes nne! Moja yangu, ya pili kwa Balozi wa Mtaa wake, ya tatu ya Balozi wa Mtaa wangu na ya nne ya Polisi!
Wahusika waliinajisi kazi hiyo tangu walipomteka Yesu na kumsulubisha.Kazi ya polis kwa Tanzania ni kazi ya laana.
Lipo wazi kabsaa hiloKila polisi hapa Tanzania atakuambia hataki kabisa mtoto wake awe policeman
Ila mtoto akipata div. 4 yeye mwenyewe anakimbilia huko.Lipo wazi kabsaa hilo
Hata wewe hutaki
Sato bei gan mzee babaNjoo huku mwanza tuvue samaki mkuu
Kwangu hivyo sio vigezo.Mbona hujasema umri wala jinsia?
Basi sawa.Kwangu hivyo sio vigezo.
Hahaha akinunua gari jeNa rafiki yangu polisi ali nunua piki piki yani haendi nayo kazini ana i paki mbali na kituo chake ana hofia kuombwa ombwa na wakubwa afu hawa changii mafuta
Rushwa kutoka kwa hawa wabongo wenye masimango na hali ngumu ya maisha kwa walio wengi, unamtafutia mwenzako laanaBado mgeni wa kazi ukizoea utaipenda tu, hukosi hela ya rushwa mshahara utakaa bank tu.