UDSM man alafu natumia katekno Y2 kuandika coz laptop imealibika manFirst year bwana!
Sasa hata kiswahili hujui kuandika unategemea upewe mkopo?
Mtalajiwa!!!
Kuongo!!!
Teyari!!!
unasoma chuo gani kwanza??
Endelea hvo hvo kitachofata supp, supp kisha disco kisha nyumbaniAisee tangu nimeanza chuo najilia tu fahari ya macho yani na kwa hili itanibidi nisiwe mnafki watoto wa UDSM wana drive mbaya mbovu japo kuwatokea ni mziki mwingine kabisa ambao unaitaji kuucheza katika mpangilio wa kumvutia msikilazi wakati huohuo muimbaji akiwa na majonzi ya kunyimwa mkopo.
Hata hivyo japo in fresher tayari nina vimada viwili kimoja first year na kingine cha final year. Aisee l regret a lot be youth and studying in independent schools coz zimesababisha nikose mkopo wa kuhonga ma beautiful/pretty/cute girl pale UDSM.
Engineer Mtarajiwa
hayo sio makosa ya simu unayotumia!!UDSM man alafu natumia katekno Y2 kuandika coz laptop imealibika man
Define the term Dreamday.Endelea hvo hvo kitachofata supp, supp kisha disco kisha nyumbani
Can you define the word Dreamday.Endelea hvo hvo kitachofata supp, supp kisha disco kisha nyumbani
Unataka niwe Playboy katika ndoa yangu acha niwe playboy before and after my wedding day niwe mtulivu.Mungu kamshushia Malaika aliyekunyima Mkopo. Yaani ungelitumia Boom kuhonga watoto?
Playboy kilaza mwenye one ya tano from private school.UDSM imulikwe vema, ni hasara kubwa kukatwa kodi akapewe mkopo kilaza kama huyu.... naunga mkono vyuo vikuu kupunguzwa.
mkuu upo UDSM ya wap??[/QUOya mountain city mkuu.
Kwa ui-engineeer huu utaangusha majengo meeengi sana.[emoji1]Aisee tangu nimeanza chuo najilia tu fahari ya macho yani na kwa hili itanibidi nisiwe mnafki watoto wa UDSM wana drive mbaya mbovu japo kuwatokea ni mziki mwingine kabisa ambao unaitaji kuucheza katika mpangilio wa kumvutia msikilazi wakati huohuo muimbaji akiwa na majonzi ya kunyimwa mkopo.
Hata hivyo japo in fresher tayari nina vimada viwili kimoja first year na kingine cha final year. Aisee l regret a lot be youth and studying in independent schools coz zimesababisha nikose mkopo wa kuhonga ma beautiful/pretty/cute girl pale UDSM.
Engineer Mtarajiwa
Jasiri haachi asili,utakua mbaya zaidi ukuingia kwenye ndoa kwakua hiyo ni hulka yako; kuonja kila ua ulionalo mbele yako kama nyuki.Unataka niwe Playboy katika ndoa yangu acha niwe playboy before and after my wedding day niwe mtulivu.
uki disko kasome diploma tu itakusaidia na utaacha mawazo mgandoEndelea hvo hvo kitachofata supp, supp kisha disco kisha nyumbani