Najuta kukosa mkopo

Najuta kukosa mkopo

Nfumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
610
Reaction score
698
Aisee tangu nimeanza chuo najilia tu fahari ya macho yani na kwa hili itanibidi nisiwe mnafki watoto wa UDSM wana drive mbaya mbovu japo kuwatokea ni mziki mwingine kabisa ambao unaitaji kuucheza katika mpangilio wa kumvutia msikilazi wakati huohuo muimbaji akiwa na majonzi ya kunyimwa mkopo.

Hata hivyo japo in fresher tayari nina vimada viwili kimoja first year na kingine cha final year. Aisee l regret a lot be youth and studying in independent schools coz zimesababisha nikose mkopo wa kuhonga ma beautiful/pretty/cute girl pale UDSM.

Engineer Mtarajiwa
 
First year bwana!
Sasa hata kiswahili hujui kuandika unategemea upewe mkopo?

Mtalajiwa!!!
Kuongo!!!
Teyari!!!

unasoma chuo gani kwanza??
UDSM man alafu natumia katekno Y2 kuandika coz laptop imealibika man
 
Mkopo ndo ulitegemea kuhongea?[emoji3] ila ujana maji ya moto.

Ndugu yangu kuna njia kibao za kuwapata hao wadada, usitegemee kuhonga tu. Piga sound. Sina la kukishauri zaidi ya hicho. Aiseee mi nacheka tu.

-callmeGhost
 
UDSM imulikwe vema, ni hasara kubwa kukatwa kodi akapewe mkopo kilaza kama huyu.... naunga mkono vyuo vikuu kupunguzwa.
 
Mungu kamshushia Malaika aliyekunyima Mkopo. Yaani ungelitumia Boom kuhonga watoto?
 
we subir muda wa kulipa madeni ndio utaona raha ya kukosa leo
 
Aisee tangu nimeanza chuo najilia tu fahari ya macho yani na kwa hili itanibidi nisiwe mnafki watoto wa UDSM wana drive mbaya mbovu japo kuwatokea ni mziki mwingine kabisa ambao unaitaji kuucheza katika mpangilio wa kumvutia msikilazi wakati huohuo muimbaji akiwa na majonzi ya kunyimwa mkopo.

Hata hivyo japo in fresher tayari nina vimada viwili kimoja first year na kingine cha final year. Aisee l regret a lot be youth and studying in independent schools coz zimesababisha nikose mkopo wa kuhonga ma beautiful/pretty/cute girl pale UDSM.

Engineer Mtarajiwa
Endelea hvo hvo kitachofata supp, supp kisha disco kisha nyumbani
 
UDSM man alafu natumia katekno Y2 kuandika coz laptop imealibika man
hayo sio makosa ya simu unayotumia!!
ona sasa umerudia tena
alafu!!!
imealibika!!!
anyway kama kweli upo udsm ukiendelea na hiyo tabia yako nakupa mwaka mmoja hiyo engineering utaisikia tu
 
Hahaha totoz za chuo zinataka pesa balaa mi nimekosa mkopo hapa nishapanga jinsi ya kugonga mademu kwa ahadi
 
Mungu kamshushia Malaika aliyekunyima Mkopo. Yaani ungelitumia Boom kuhonga watoto?
Unataka niwe Playboy katika ndoa yangu acha niwe playboy before and after my wedding day niwe mtulivu.
 
UDSM imulikwe vema, ni hasara kubwa kukatwa kodi akapewe mkopo kilaza kama huyu.... naunga mkono vyuo vikuu kupunguzwa.
Playboy kilaza mwenye one ya tano from private school.
 
Dah....ilinichukua semista 2 kujua idadi ya classmates wangu wa kike[emoji13] [emoji13]
 
Aisee tangu nimeanza chuo najilia tu fahari ya macho yani na kwa hili itanibidi nisiwe mnafki watoto wa UDSM wana drive mbaya mbovu japo kuwatokea ni mziki mwingine kabisa ambao unaitaji kuucheza katika mpangilio wa kumvutia msikilazi wakati huohuo muimbaji akiwa na majonzi ya kunyimwa mkopo.

Hata hivyo japo in fresher tayari nina vimada viwili kimoja first year na kingine cha final year. Aisee l regret a lot be youth and studying in independent schools coz zimesababisha nikose mkopo wa kuhonga ma beautiful/pretty/cute girl pale UDSM.

Engineer Mtarajiwa
Kwa ui-engineeer huu utaangusha majengo meeengi sana.[emoji1]
 
Unataka niwe Playboy katika ndoa yangu acha niwe playboy before and after my wedding day niwe mtulivu.
Jasiri haachi asili,utakua mbaya zaidi ukuingia kwenye ndoa kwakua hiyo ni hulka yako; kuonja kila ua ulionalo mbele yako kama nyuki.
 
Back
Top Bottom