Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
kaka pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka pole
Sio kumsumbua tu tumeishapiga demu wako mwepesi kama maharage ya mbeya😂 Asante kwa kumshawishi bila ivyo wahuni tusingeteleza kama nyoka kwenye majani.Demu wangu hakuwa hata anajua kama duniani kuna jukwaa la JF,
Nikamshawishi ajiunge na akajiunga, tokea ajiunge wanajukwaa wengi wa kiume wamekuwa wakimsumbua sana kwa pm, wakipiga mistari,
Wengine wamefikia hatua hadi ya kumtumia namba za simu, nikitembelea profile yake nakuta vistors kibao wa kiume.
Kama mnavyojua miluzi mingi humpoteza mbwa, ninahofu anaweza nipotea kwa mtindo huu, kinachonitisha zaidi niliamua kutengeneza ID asiyoijua nami nikaanza kumtongoza, kanitumia namba yake na ninachat naye sana na ameshaonesha dalili zote za kunikubali, mtihani ni kuonana naye, naogopa kuweka appointment halafu kweli atokee, nitazimia.