Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Yaani ujinga wote huo wa kudandia mademu wa watu kumbe hata kazi hauna [emoji16][emoji16][emoji16]Hyo fursa km bdo ipo si unipe mm mkuu,
Na kwa akili zako za kipuuzi hata kujiajiri umeshindwa . Umegeuka kuwa mchonganishi wa mapenzi ya watu na hata akili za kuchonganisha mapenzi bado hauna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana penzi bado tamu nadunda nalo.
Ndugu mtoa mada huyu kijana ni mshenzi sana usije ukajiroga