Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Iwe ya kutunga iwe ukweli, unaishi vipi na msaliti ndani kwako ?? Pili muuaji ??
Ofcoz hii chai
Najuta kumsamehe mke wangu sio kama sina moyo wa kusamehe au mimi ni binadamu nisiye na roho ya huruma hapana!! Lakini msamaha wangu kwake ulitaka kuondoka na roho yangu.
Mimi ni fundi furniture natengeneza vitanda, masofa, makabati nk. Mke wangu ni mama wa nyumbani na tuna watoto wawili wadogo. Mmoja wa miaka nane na mwingine wa miaka minne na nusu.
Siku hiyo nilienda kazini asubuhi na mapema lakini kufika sa tano nikaona nirudi nyumbani kupumzika kwani sikuwa na mood ya kufanya kazi siku hiyo.
Kufika nyumbani sikuamini macho yangu nilimkuta mke wangu akiwa na mchepuko wake juu ya kitanda changu wakifanya tendo la ndoa lakini sikutaka kukatisha starehe yao. Nilichofanya niliamua tu kuwasalimia kisha nikaondoka.
Yule jamaa nae kwa hofu hakuendelea na alichokuwa akifanya kwa mke wangu akaamua kuondoka.
Baadae nikarudi nyumbani sikuwa na maneno mengi na wala sikutaka kugombana na mke wangu nilihofia kumuudhi asije akachukia akaondoka nyumbani ikiwa bado nampenda na watoto wetu bado wadogo wanahitaji malezi yetu wote wawili.
Nikiwa nipo ndani nimepumzika nyakati za jioni mke wangu alimtuma mtoto wetu wa miaka nane akanunue sumu ya panya dukani kwamba kuna panya mkubwa amemuona anasumbua sana ndani.
Baada ya mapishi chakula kikawa tayari mezani. Mke wangu alichukuwa ile pakiti ya sumu akaichana na kunyunyiza sumu kwenye sahani ya chakula.
Alidhani hakuna aliyemuona kumbe binti yetu huyo mwenye miaka nane alishuhudia tukio zima ila akajikausha kama hajaona kitu. Mbio akaenda kwa jirani kuelezea alichokiona. Jirani kwa wema akampa kichupa cha maziwa akamwambia kama baba yako akila hiko chakula mpe maziwa haya anywe.
Mke wangu alikuja chumbani kuniita kuwa chakula kipo tayari.
Nilipofika mezani kila mtu akapewa sahani yake ila binti yetu akasema "baba mimi nimeshiba chukua chakula changu hiko chako utakula kesho." Nami nikamwambia basi funika hiko chako utakula kesho mimi acha nile hikihiki.
Nikaanza kula huku binti yangu akiniangalia nami nikachukua kipande cha nyama nikampa lakini mama yake yaani mke wangu akawahi akampokonya na kumsema kwa ukali "wewe si umesema umeshiba sasa kwanini unapokea hiyo nyama?"
Nikaona sio kesi nikampa kipande kingine akawahi harakaharaka akaweka mdomoni. Mke wangu alichukia sana.
Punde tumbo likaanza kuniuma binti yangu akawahi kunipa yale maziwa nikanywa. Mke wangu akamwambia "na wewe kunywa hayo maziwa mwanangu utakuja kufa bure."
Hapo ndio nikajua kumbe mke wangu alikuwa ameniwekea sumu kwenye chakula kwa dhamira ya kutaka kuniua.
Ilibidi niite majirani na viongozi wa mtaa ili washuhudie kile kilichotokea. Watu walipomuhoji "kwanini umetaka kumuua mume wako?" akawajibu "kwasababu amenifumania na hakunifanya chochote hivyo nilihofia labda alipanga kuniua kwa siri ndio maana nimeamua kumuwahi yeye."
Kila mtu alishangaa kwamba amekuwa mjinga kiasi gani hadi kutaka kuniua kwa kosa ambalo amefanya yeye mwenyewe. Yaani kwake mchepuko una thamani kuliko mimi.
Hapa nipo nawaza nimsamehe mke wangu ili tuendelee kulea watoto wetu pamoja au niache aende jela kwa kosa la jaribio la kutaka kuniua?
Naomba ushauri wako tafadhali. !! 🙏🙏🙏
#No_learnig_No_earning
So We Have To Learn
Content By Mr George Francis
Cha ajabu,hospital unatundikiwa drip mbili za maji unapona hii ipoje,yaan simple tuMaziwa hayaondoi sumu moja kwa moja mwilini, lakini katika baadhi ya hali, yanaweza kusaidia kupunguza athari za sumu fulani kwa muda mfupi. Hii hutegemea sana aina ya sumu.
Kwa mfano:
- Kama mtu amekunywa kitu chenye tindikali au kemikali kali, maziwa yanaweza kusaidia kulainisha koo au kupunguza ukali wa sumu hiyo—lakini si tiba.
- Kwa sumu nyingi (kama dawa za viwandani, sumu ya panya, au dawa za kupita dozi), maziwa hayawezi kusaidia na yanaweza hata kuchelewesha matibabu sahihi.
Muhimu sana: Iwapo mtu amekunywa sumu, usimpe kitu chochote (pamoja na maziwa) kabla ya kupata ushauri wa kitabibu. Piga simu hospitali au kituo cha sumu haraka iwezekanavyo.
Nadhani sio maji ya kawaida yana kitu ndani yake. Pia inawezakana maji yanaondoa ile sumu.Cha ajabu,hospital unatundikiwa drip mbili za maji unapona hii ipoje,yaan simple tu
Nyoka ni nyoka, hata akijivua gamba hawezi kuwa kambale. Shauri yako. jitahidi kusoma hata maandiko matakatifu yanasemaje mkuu. Yaani naumia nikiona wabongo tumeamua kuvua akili zetu na kuvaa miwani ya mbao in the name of kupenda.Najuta kumsamehe mke wangu sio kama sina moyo wa kusamehe au mimi ni binadamu nisiye na roho ya huruma hapana!! Lakini msamaha wangu kwake ulitaka kuondoka na roho yangu.
Mimi ni fundi furniture natengeneza vitanda, masofa, makabati nk. Mke wangu ni mama wa nyumbani na tuna watoto wawili wadogo. Mmoja wa miaka nane na mwingine wa miaka minne na nusu.
Siku hiyo nilienda kazini asubuhi na mapema lakini kufika sa tano nikaona nirudi nyumbani kupumzika kwani sikuwa na mood ya kufanya kazi siku hiyo.
Kufika nyumbani sikuamini macho yangu nilimkuta mke wangu akiwa na mchepuko wake juu ya kitanda changu wakifanya tendo la ndoa lakini sikutaka kukatisha starehe yao. Nilichofanya niliamua tu kuwasalimia kisha nikaondoka.
Yule jamaa nae kwa hofu hakuendelea na alichokuwa akifanya kwa mke wangu akaamua kuondoka.
Baadae nikarudi nyumbani sikuwa na maneno mengi na wala sikutaka kugombana na mke wangu nilihofia kumuudhi asije akachukia akaondoka nyumbani ikiwa bado nampenda na watoto wetu bado wadogo wanahitaji malezi yetu wote wawili.
Nikiwa nipo ndani nimepumzika nyakati za jioni mke wangu alimtuma mtoto wetu wa miaka nane akanunue sumu ya panya dukani kwamba kuna panya mkubwa amemuona anasumbua sana ndani.
Baada ya mapishi chakula kikawa tayari mezani. Mke wangu alichukuwa ile pakiti ya sumu akaichana na kunyunyiza sumu kwenye sahani ya chakula.
Alidhani hakuna aliyemuona kumbe binti yetu huyo mwenye miaka nane alishuhudia tukio zima ila akajikausha kama hajaona kitu. Mbio akaenda kwa jirani kuelezea alichokiona. Jirani kwa wema akampa kichupa cha maziwa akamwambia kama baba yako akila hiko chakula mpe maziwa haya anywe.
Mke wangu alikuja chumbani kuniita kuwa chakula kipo tayari.
Nilipofika mezani kila mtu akapewa sahani yake ila binti yetu akasema "baba mimi nimeshiba chukua chakula changu hiko chako utakula kesho." Nami nikamwambia basi funika hiko chako utakula kesho mimi acha nile hikihiki.
Nikaanza kula huku binti yangu akiniangalia nami nikachukua kipande cha nyama nikampa lakini mama yake yaani mke wangu akawahi akampokonya na kumsema kwa ukali "wewe si umesema umeshiba sasa kwanini unapokea hiyo nyama?"
Nikaona sio kesi nikampa kipande kingine akawahi harakaharaka akaweka mdomoni. Mke wangu alichukia sana.
Punde tumbo likaanza kuniuma binti yangu akawahi kunipa yale maziwa nikanywa. Mke wangu akamwambia "na wewe kunywa hayo maziwa mwanangu utakuja kufa bure."
Hapo ndio nikajua kumbe mke wangu alikuwa ameniwekea sumu kwenye chakula kwa dhamira ya kutaka kuniua.
Ilibidi niite majirani na viongozi wa mtaa ili washuhudie kile kilichotokea. Watu walipomuhoji "kwanini umetaka kumuua mume wako?" akawajibu "kwasababu amenifumania na hakunifanya chochote hivyo nilihofia labda alipanga kuniua kwa siri ndio maana nimeamua kumuwahi yeye."
Kila mtu alishangaa kwamba amekuwa mjinga kiasi gani hadi kutaka kuniua kwa kosa ambalo amefanya yeye mwenyewe. Yaani kwake mchepuko una thamani kuliko mimi.
Hapa nipo nawaza nimsamehe mke wangu ili tuendelee kulea watoto wetu pamoja au niache aende jela kwa kosa la jaribio la kutaka kuniua?
Naomba ushauri wako tafadhali. !! 🙏🙏🙏
#No_learnig_No_earning
So We Have To Learn
Content By Mr George Francis
Chaiii ya siturungi 😀 😀 😀 😀Najuta kumsamehe mke wangu sio kama sina moyo wa kusamehe au mimi ni binadamu nisiye na roho ya huruma hapana!! Lakini msamaha wangu kwake ulitaka kuondoka na roho yangu.

Kiufupi huna akili timamu, unazo lakini sio timamuNajuta kumsamehe mke wangu sio kama sina moyo wa kusamehe au mimi ni binadamu nisiye na roho ya huruma hapana!! Lakini msamaha wangu kwake ulitaka kuondoka na roho yangu.

Nenda kaangalie FB nani alipost kama sio mimi George FrancisNext time dont copy stories fb una paste humu
Mimi ni expert member nina miaka zaidi ya 8 hapa Jamii forumsUnajifunza kuanzisha uzi?