Najuta kumsamehe mke wangu, ilikuwa kidogo tu nipoteze maisha. Naombeni ushauri

Iwe ya kutunga iwe ukweli, unaishi vipi na msaliti ndani kwako ?? Pili muuaji ??
 


Maziwa hayaondoi sumu moja kwa moja mwilini, lakini katika baadhi ya hali, yanaweza kusaidia kupunguza athari za sumu fulani kwa muda mfupi. Hii hutegemea sana aina ya sumu.

Kwa mfano:
  • Kama mtu amekunywa kitu chenye tindikali au kemikali kali, maziwa yanaweza kusaidia kulainisha koo au kupunguza ukali wa sumu hiyoβ€”lakini si tiba.
  • Kwa sumu nyingi (kama dawa za viwandani, sumu ya panya, au dawa za kupita dozi), maziwa hayawezi kusaidia na yanaweza hata kuchelewesha matibabu sahihi.

Muhimu sana: Iwapo mtu amekunywa sumu, usimpe kitu chochote (pamoja na maziwa) kabla ya kupata ushauri wa kitabibu. Piga simu hospitali au kituo cha sumu haraka iwezekanavyo.
 
Cha ajabu,hospital unatundikiwa drip mbili za maji unapona hii ipoje,yaan simple tu
 
Nyoka ni nyoka, hata akijivua gamba hawezi kuwa kambale. Shauri yako. jitahidi kusoma hata maandiko matakatifu yanasemaje mkuu. Yaani naumia nikiona wabongo tumeamua kuvua akili zetu na kuvaa miwani ya mbao in the name of kupenda.
 
unauza shingap story yako
 
Chaiii ya siturungi πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
EX IS ALWAYS A POISON, THAT MAY HARMFUL YOUR LIFE
 
EX IS ALWAYS A POISON, THAT MAY HARMFUL YOUR LIFE
 
EX IS ALWAYS A POISON, THAT MAY HARMFUL YOUR LIFE
 
Kiufupi huna akili timamu, unazo lakini sio timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…