Najuta kumsamehe mke wangu, ilikuwa kidogo tu nipoteze maisha. Naombeni ushauri

“Duru” zinasema idadi kubwa ya wanandoa wanaishi kwa mateso na kuviziana sana.

Chanzo: Mimi mwenyewe.
 
Ah wee kweli zezeta....mwanamke anayesamehewa ni yule ambaye mmeshapiga 3some na mchepuko wake . Mke aliyefumaniwa akikataa 3some huyo wee fukuza kabisa maana anaidanganya ata nafsi yake mwenyewe
 
una miaka mongap ? mjinga mwenye miaka 40 ni mjinga milele
 
Unywe dawa za kuondoa limbwata kichwani kwanza ukimaliza ndio uje kuomba ushauri,
Kwa maana hata ukimfukuza utaendelea kumuwaza halafu utatuona wabaya wakati umeomba ushauri mwenyewe
 
so jirani akaona ampe dogo maziwa dogo akakaa kimya babake anakula chakula cha sumu na yeye apewe nyama atake kula yani alimute tu!


We umetuonaje lakini?
 
Hii inaweza isiwe kweli lakini, Mimi kuna jirani yangu tumemzika Mwezi wa Tano kwenye matukio kama haya.

Hata kama umesave nenda hospitali kubwa kafanye check up utakuja kunishukuru.
 
Mzee hii ni maajabu.
 
so jirani akaona ampe dogo maziwa dogo akakaa kimya babake anakula chakula cha sumu na yeye apewe nyama atake kula yani alimute tu!


We umetuonaje lakini?
Hiyo ndiyo maana ya drama🤣🤣🤣
 
Wewe ni mpumbavu sana! Umesalitiwa bado unatia huruma ya kutaka kumsamehe, haya ametaka kukuua wewe na mwanao bado unataka kumsamehe duuh!

Narudia ww ni mpumbavu, unapaswa upigwe krebu moja ya kichwa ili kureset settings za medulla oblongata to its defaults....
 
Wewe ni verified member halafu unaandika upotoro wa kitoto namna hii? Huogopi watu wataona kuwa wewe ni mjinga unayetaka kuchangamsha jamvi lakini kutokana na uwezo wako mdogo wa kutunga habari unaishia kuandika ujinga wa kitoto kabisa?
 
Umeamini habari ya kutunga tena ya kitoto namna hii?
 
Hii ni alkasusu ya wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…