Najuta kumsamehe mke wangu, ilikuwa kidogo tu nipoteze maisha. Naombeni ushauri

Msamehe Tena Mkuu.
Ili akuue vizuri, Shwain!!
 
Sungura akamwambia rafiki yake fisi, twende tukaibe mahindi kwenye mashamba ya binadamu.
 
Sijawahi ona mtu mjinga wa level πŸ˜” watanzania ninyi wajinga sana, mnasukumwa na hisia za mapenzi kifalafala namna hiyo?
Yani mtu akusaliti , alafu atafute kukutoa duniani ! Na bado uombe ushauri? CHAI KABISAπŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’
 
MKUU HIZI AKILI ZAKO AU ZA KUROGWA,
KUNA MAMBO AIBU KUULIZA,SASA WAKATI UJAO ATAKUUA HATA KWA KUKUKODIA WAHUNI
 
Aisee naomba unielekeze hiyo PHD ya UPUMBAVU umeipata wapi?
 
Mtoto wa miaka 8 aliona mama akiweka sumu kwenye chakula cha baba, akanyamaza, akaenda kwa jirani akaomba maziwa. Akasubiri baba aanze kula ndipo akampa maziwa.

Baba anaumwa tumbo, binti anampa maziwa.
Mama nae anasema β€œNa wewe kunywa, utakufa bure.”
Yaani alitaka wafe wote wawili afanye harusi na yule mchepuko bila pressure.

By the way season II inatoka lini?
 
M
Mwache aende jela huyo siyo mtu. Ni shetani. Utakufa wewe uache watoto unao wapigania
 
Mke wako yupo sahihi kakuona Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…