Kibaka aeleza vitu vilivyokuwa kwenye pochi ya MWL. Alivyompora, 1: majina ya wapiga kelele darasani. 2: vipeperushi vya mgomo 3:markingscheme 4: list ya madeni anayodaiwa 5: andalio la somo 6: majina ya watoto waliowahi namba asubuh 7: list ya watoto waliokopa ubuyu na visheti 8: kalamu 2 za speedo nyeusi na nyekundu 9: makaratasi ya test 10: list ya watoto waliotoroka 11: Tshs 500 ya nauli, basi kibaka aliapa hatorudia tena kumuibia MWL. Kwani anajuta kupoteza muda wake
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums