Yaani huelewi utafiki unataka kutunga mashairi ya Bongo Flava, mimi ni mkale ile mbaya, aliyekuambia wewe mkali nani, na umejipima kwa stds zipi kuthibitisha hilo?Nilikuwa naye kwa miaka miwili, tukawa tunaona wakati wa likizo, we were making love except sex.! Coz nlikuwa naskia matetesi..doo ni mkali ile mbaya, walikuwa wanamgwaya ndo wakasambaza mastori ya ajabu. Siku moja ikatokea nikampa ,..then nikarudi zangu dsm xcul, nikapata mrembo mwengne ye nikamsahau (nilimtosa infact).! Shida imekuwa kubwa she want again and again, anataka nitangaze ndoa kabisa, mara ya mwisho kuonana naye april 2010. Sijamjibu bado, niko single kwa sasa.
mods waanzishe jukwaa la watoto...
tutoto twingi kweli humu siku hizi....a a...
BADO HUJAELEZA TATIZO!
Kosa lake hadi umtose ni nini?
Unafanyia kazi tetesi?...Why not be yourself?, mbaya zaidi unasema zilivumishwa na watu baada ya kuona amekataa kuwaonjesha!
Je nia yako ilikuwa kumdhalilisha tu? Kwanini hujawasiliana naye, halafu umetafuta mwingine?....umenitisha sana!
Ndio maana sionekani siku hizi.
problem kubwa ni kwamba she z moslem and am christian, ndo mana hata kwenye relationshp i ddnt promise much, so guyz what should i do nahisi italeta tension kubwa kama akibadil dini