Najuta kumuonjesha

Najuta kumuonjesha

Nilikuwa naye kwa miaka miwili, tukawa tunaona wakati wa likizo, we were making love except sex.! Coz nlikuwa naskia matetesi..doo ni mkali ile mbaya, walikuwa wanamgwaya ndo wakasambaza mastori ya ajabu. Siku moja ikatokea nikampa ,..then nikarudi zangu dsm xcul, nikapata mrembo mwengne ye nikamsahau (nilimtosa infact).! Shida imekuwa kubwa she want again and again, anataka nitangaze ndoa kabisa, mara ya mwisho kuonana naye april 2010. Sijamjibu bado, niko single kwa sasa.
Naona wamekusema sana mdogo wangu, usijali, Nitakusaidia mimi. Naomba lakini unieleze hapo pekundu ulimaanisha nini hasa...
 
Yaani huelewi utafiki unataka kutunga mashairi ya Bongo Flava, mimi ni mkale ile mbaya, aliyekuambia wewe mkali nani, na umejipima kwa stds zipi kuthibitisha hilo?

Mkuu, Hapa ni kama enzi hizo jarida la sani, lilikuwa linakuja na vicho vya habari kama hivi. Tena nakumbuka kuna moja lilikuwa limeandikwa huonjweshi? sasa ni bora babu sani alikuwa anategua hilo fumbo kwa mifano dhahiri, lakini hapa na mimi nimebaki mdomo wazi!
 
Nilikuwa naye kwa miaka miwili, tukawa tunaona wakati wa likizo, we were making love except sex.! Coz nlikuwa naskia matetesi..doo ni mkali ile mbaya, walikuwa wanamgwaya ndo wakasambaza mastori ya ajabu. Siku moja ikatokea nikampa ,..then nikarudi zangu dsm xcul, nikapata mrembo mwengne ye nikamsahau (nilimtosa infact).! Shida imekuwa kubwa she want again and again, anataka nitangaze ndoa kabisa, mara ya mwisho kuonana naye april 2010. Sijamjibu bado, niko single kwa sasa.

hadith yako inatufundisha nn?
 
huyu RussianRoulette kashaota mapembe.umeona eeh..!!
 
achaga kuandika upuuzi humu wewe,, nenda marafiki.com ukawasimulie taka zako...
 
Back
Top Bottom