Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,568
- 5,386
Naona wamekusema sana mdogo wangu, usijali, Nitakusaidia mimi. Naomba lakini unieleze hapo pekundu ulimaanisha nini hasa...Nilikuwa naye kwa miaka miwili, tukawa tunaona wakati wa likizo, we were making love except sex.! Coz nlikuwa naskia matetesi..doo ni mkali ile mbaya, walikuwa wanamgwaya ndo wakasambaza mastori ya ajabu. Siku moja ikatokea nikampa ,..then nikarudi zangu dsm xcul, nikapata mrembo mwengne ye nikamsahau (nilimtosa infact).! Shida imekuwa kubwa she want again and again, anataka nitangaze ndoa kabisa, mara ya mwisho kuonana naye april 2010. Sijamjibu bado, niko single kwa sasa.