Yaa sure akiwa na kipato inabidi achangie ila akiwa Hana inabidi kidume ukaze matako Kwa sababu wewe ndo umemchaguaKwa dunia ya sasa ambayo mwanamke nae kapewa nyenzo zote za kutafuta hela, akiwa na kipato nae anawajibika na bill za familia
Uje unisaidie kuvuna karanga😂😂sawa
Sawa, nipe location kazi nianze mapemaUje unisaidie kuvuna karanga
Kwenye huu ukanda wenye baridi kwa sasaSawa, nipe location kazi nianze mapema
Kijana tangu kwenye comment yako ya awali unaonekana tu hata akili zako ni changa sana, una uelewa duni kuhusu wanawake na maisha kwa ujumla... unaleta mifano ya akina Ronaldo kupewa pass na rafiki kwenye mechi moja halafu unalinganisha na wajibu wa baba wa kambo ndani ya ndoa? Mara unatutajia mifano ya Harmonize na Diamond wakati ile ilikuwa ni business partnership ndio akili gani sasa hizo? Yaani umetoa mifano ya ajabu ajabu ambayo haina mshabiano wowote wa kimantiki na hoja yako halafu bado unakomaa tu eti mifano yako ni hai... kalagabao wee.Mifano ipo hai sema uelewa wako ndio Mfu.
Bado unadhiirisha uchanga wako wa akili, yaan unalinganisha national culture ya Indonesia na wewe mwanaume wa huku madongo kuinama kutoa msaada kwa mtoto wa single mother ambaye yeye na huyo mtoto wake wanaweza wasije kuutambua kabisa huo msaada wako siku za mbeleni huko? Dogo acha kuishi kwenye utopia watu kama wewe huwa mnadharauliwa sana bila kujijua.Mifano Indonesia jinsi gani binadamu anaweza kumsaidia mwingine hata kama hajamzaa.
Wewe una uhakika gani huyo single mother na mtoto wake unaowasaidia leo hii watakuja kukusaidia huko mbeleni? Nikujuze tu wewe baba wa kambo utakuwa ni daraja tu la kuwavusha huyo single mother na mwanae kwenye nyakati ngumu ila kukusaidia ni option. Wewe kama ni kusaidia saidia ndugu zako huko hao ndio mtategemeana na sio kujipendekeza kwenye koo za watu.Mifano yangu inatufundisha kutegemeana
Sikushangai kutonielewa mfano wangu kwa sababu uwezo wako wa kifikra na experience yako kuhusu wanawake ni duni sana....ungekuwa unawajua vizuri sana wanawake na entitlement mentality waliyonayo wala hata usingepata shida kunielewa.Twende kwenye mfano wako ambao ndio mfu sasa..
Yaani umpleke mtoto shule, harafu mtoto au mamake ajiskie vibaya kisa umempeleka shule mbaya na unao uwezo wa kumpleka shule nzuri
Aisee hivi ulikuwa unasoma comment yangu huku umelewa au? Mbona una comprehensive capacity ndogo hivi? Wapi mimi nimesema hili neno?Harafu wewe tena ndio ujisikie vibaya hutaki hata kumuona?
Aisee kwa akili hizi wewe kweli unastahili kuwa baba wa kambo, maana masingle mothers huwa wanawapenda wanaume wenye akili nzito ila wanajua kuprovide na wewe ni mfano sahihi kabisa.Utakua ni Baba wa familia kweli au Mhungaji wa familia tu.
Ushauri mzuri. Kabla ya kuoa single mother mtu anatakiwa ajiandae kisaikolojia na mwanamke pia nadhani huwa anapata changamoto akifikiria au akijaribu kuwaza utamchukuliaje au unamuwaziaje mwanae.Mpende huyo mtoto, utaziona baraka za Mungu...
Single mama ni binadamu aliyeteleza tu...
Tuache kuhukumu, Mungu anasamehe
Hili huwa linatokea hata katika familia ambayo ni ya wazazi kabisa. Nadhani cha msingi ni katiba yake azidi kui shape iwe ina terms za muda mrefu.Akiwa mkubwa, atashirikiana na mama yake kukupiga
My dear whether you negate it or not this phonomena has been constantly socioeconomically proved since the time immemorial.No thank you i refuse to live my good life only to be reduced by a simple man math. Defining my whole existence to offering only sex, excuse me God did not waste his precious time of creation so that a woman could offer sex.
Mkuu kwa maana nyingine hata mke wako, akitongozwa na mwanaume mwenye value kubwa zaidi yako nivyema akaachana na wewe ili aende katika profit kubwa?Ungeyasoma maelezo yangu ungepata kitu walau cha kuwafunza wanao wa kike.
My dear mahusiano ni fursa hasa kwa mwanamke, ikiwa wewe unayachukulia kwa namna nyingine tofauti na hiyo basi uko kwenye hasara.
Mahusiano yanampa mwanamke sustainable wellbeing hasa ukimpata mwanaume mwenye thamani(high value man) kwa maana ya mwanaume mwenye hela au strong network ya pesa... sasa kama wewe una date low value men yaani wanaume kajamba nani ambao hawan connection wala pesa, basi una hasara kubwa sana.
Kitu pekee mwanaume anachonufaika nacho kwenye mahusiano ni sex tu labda na mtoto.
Bitter pill to swallow, unfortunately this is how it always goes based on woman's hypergamous instict. Ninaweza nisiombee ila the livelhood of such occurence is way bigger.Mkuu kwa maana nyingine hata mke wako, akitongozwa na mwanaume mwenye value kubwa zaidi yako nivyema akaachana na wewe ili aende katika profit kubwa?
You are absolutely right in our modern times marriage has almost zero benefits to a man if you put procreation aside... Yes, majority of 'em chicks have nothing to offer beside coitusNa je kama mwanaume ana hiyo value kubwa na anachopata ni sex na "labda mtoto" kama ulivyosema, basi haina haja ya ndoa, sababu offer yake ni sex na mtoto, na sex anaweza pata kwa mwanamke yeyote na akazaa na wanawake wengine?
In as much as we deem this habitual tendecy morally wrong it has already become a new culture practiced by our so called working class ladies.Pia mwanamke kama anajiweza ni vyema asiwe na mwanaume, ila azae tu then akitaka sex anaweza hook kijana anaemvutia, ni sawa?
Kimaadili na kisaikolojia tumeshapotea, we are already fuccked up big time....!! Tatizo liluanzia pale tulipoacha tamaduni zetu za kimaisha ya kiafrika tukiamini kwamba ni ya kizamani na ni kandamizi, hivyo basi tukajiingiza kwenye mfumo mpya wa maisha wa wenzetu(wazungu) tukiamini kwamba wao wamestaharabika, na hapo ndipo tukafungua milango kwa wanawake kuanza ku exercise their hypergamous natural tendency huku wakifukuzana na fantansies zao kama hizo za kubadilisha mboo kila wanavyojiskia.Mkuu hebu licheki tena hili suala katika angles za maadili na saikolojia, kisha unipe mwanga zaidi.
Unazidi kumchanganya!Akiwa mkubwa, atashirikiana na mama yake kukupiga
Wewe hujazaa nae?WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.
Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.
Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Baado.Wewe hujazaa nae?
Ajitokeze akamchukue mwanae,jamaa angalia Nyikani!Duuh pole mkuu... Ngoja wenye uzoefu waje, usikute baba yake yupo humu pia anasoma huu uzi😂😂😂
Pambana kuzaa nae,utasahau machungu,hujachelewa Bado!Baado.
Sawa tu ifike mwisho, kwani ana ndoa hapo!? Anaishi na mke wa mtu.Mpende huyo mtoto na umhudumie kama ulivyoazimia. Siku utakapomgusa huyo mtoto asiwe sehemu ya familia yako ndoa yako itakuwa imefikia mwisho.
Mtie moyo mwenzako!Huyu ni mwana kulitafuta.Sawa tu ifike mwisho, kwani ana ndoa hapo!? Anaishi na mke wa mtu.
Vilaza kama hao ndio dream men wa wanawake wa kisasa.Aisee kwa akili hizi wewe kweli unastahili kuwa baba wa kambo, maana masingle mothers huwa wanawapenda wanaume wenye akili nzito ila wanajua kuprovide na wewe ni mfano sahihi kabisa.