Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
- Thread starter
-
- #161
Nimejilazimisha kumpenda huyu mtoto lakini nimeshindwa.Mbona mkuu huna sababu za ku hate huyo.mtoto , na huna sababu za kumchukia huyo mama maan huna sababu za msingi zaid ya selfish
Ila kama ulilogwa kuoa labda lakn hakuna baya kwakuw hakuna changamoto za msingi za kujuta
Usimchafue single mother wawatu wajibika kwakuw ulijua kbs ana mtoto na uli accept
Watu wengi tu mkuu wamelelewa na wazazi sio wao hadi wamefikia mafanikio.Nafsi mkuu haikubali.....hasa pale unakuta Dogo anaumwa hamjalala usiku kucha. Ila unasikia Baba yake jana alikuwa kalewa anagombana na Bar Maid.
Lakini Mtoto anaitwa kwa jina la mlevi sio lako wewe unayehustle.
Bora wewe umekuwa mkweliNimejilazimisha kumpenda huyu mtoto lakini nimeshindwa.
1&2 Hana shida 3 mapenzi yake yapo kwa mtoto zaidi kuliko Mimi. Hii inanifanya nifikirie mbali sana.ukiachana na mtoto huyo single mother anachangamoto gani nyingine? je,
1. anampelekaga mtoto kwa baba yake?
2. Anakunyima sakrament?
3. Mapenzi yake yameegemea wapi zaidi?
Unajua ́maumivu aliyopitia Mama yake au baba yqke wa kambo?Watu wengi tu mkuu wamelelewa na wazazi sio wao hadi wamefikia mafanikio.
Huyo baba mlevi ni wazi hataweza kumjengea njia nzuri mwanae hivyo kama una nafasi na mtoto yupo poa fanya hivyo.
Nimesoma na watu wengi tu wa familia moja ila majina ya mwisho yanatofautiana. Muhimu ile hali ya upendo na undugu ilikuwepo.
Aisee pole sanaa, kwa jinsi ulivyoandika inaonyesha kama kweli upo SERIOUS.WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.
Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.
Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Naogopa kuanzisha naye familia. Nafikiria nimuache kabla mambo hayajawa mengi.Mpe mimba nyingine 6.
Kila siku anatusanua Kuna neno huwa analitumia ana sema tusiwe masimpMwamba sana huyu
Fafanua maumivu upande gani, wa malezi?Unajua ́maumivu aliyopitia Mama yake au baba yqke wa kambo?
Msichukulie mambo poa
mpe mimba1&2 Hana shida 3 mapenzi yake yapo kwa mtoto zaidi kuliko Mimi. Hii inanifanya nifikirie mbali sana.
Nimejihisi na mimi kabisa.Duuh pole mkuu... Ngoja wenye uzoefu waje, usikute baba yake yupo humu pia anasoma huu uzi😂😂😂
keAngekuwa ni mwanamke ameolewa mwanaume mwenye mtoto akawa anapitia changamoto kama hizi ungetoa ushauri mwingine au ndo huu huu both sides?
1. Lakini kuhusu mtoto wake si uliliona kabla au ulishinikizwa?WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.
Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.
Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Hilo lipo wazi hawezi kukupenda wewe kuliko mwanae maana bondi yenu inaweza vunjika wakati wowote1&2 Hana shida 3 mapenzi yake yapo kwa mtoto zaidi kuliko Mimi. Hii inanifanya nifikirie mbali sana.
Huyo mtoto wa mwanaume hana mama tofauti? Nyie viumbe ni wabinafsi sanaMwanaume mwenye mtoto hana shida sababu Baba ni yule yule.
Mwanamke mwenye mtoto ni shida sababu Baba ni tofauti
ke
Umeshaanza kuelewa, subiri yajayo kwenye hiyo ndoa yako ndo yatakamilisha uelewa wakoSasa unakataaje ndoa? Ili ufanye uhuni au Mimi sijaelewa mantiki ya hichi unachosema!!