White party
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 1,035
- 1,169
Naomba mdada mmoja kama Valentina hivi anisaidie kukuambia 'unalo'!Siwezi vumilia mi ni mtu wa kujirusha yeye anakata tushinde ndani tu wkend zote
Nafikiri unatakiwa ubadili namna ya kuishi, ulikula kiapo cha kuwa na huyo mwenza wako siku zote za maisha yenu hapa duniani. Na ukitaka kufurahia, toa sadaka baadhi ya mambo ambayo ni kero kwa mwenzio kama hayo. Nina hakika, hata yeye kuna baadhi ya vitu alipenda kufanya ila ameacha kwa sababu yako.Siwezi vumilia mi ni mtu wa kujirusha yeye anakata tushinde ndani tu wkend zote
Asante kwa ushauriNafikiri unatakiwa ubadili namna ya kuishi, ulikula kiapo cha kuwa na huyo mwenza wako siku zote za maisha yenu hapa duniani. Na ukitaka kufurahia, toa sadaka baadhi ya mambo ambayo ni kero kwa mwenzio kama hayo. Nina hakika, hata yeye kuna baadhi ya vitu alipenda kufanya ila ameacha kwa sababu yako.
#FurahiaNdoa
ww ilitakiwa uolewe na mie wazee wa bata batani tunakututana hme wakati wa kulala tuSiwezi vumilia mi ni mtu wa kujirusha yeye anakata tushinde ndani tu wkend zote