Najuta kuolewa!

Najuta kuolewa!

kwani hamuwezi kupata kitwanga mbili tatu na mr wako mkiwa ndan hzo weekend
 
Weita naomba KITWANGA mbili za uvuguvugu!
943839477f24e4c9600ce72bc2312a7a.jpg
 
Yaani ni tabu ukichelewa kurudi kidogo tu lawama kibao.

ukisema utembelee shost zako huruhusiwi na maneno kibao.

kibaya zaid mume huyu ni bingwa wa kununa kitu kidogo atanuna siku saba! Loh ! Bora nibaki sinngle mie ..

Nadai taraka yangu
Nadhani wewe sio mwanamke ni mpuuzi mpuuzi Fulani,
 
Vumilia Monicca. Miaka miwili ya ndoa ya mwanzo huwa na migogoro mingi sana midogo midogo. Ukiweza kuivuka hiyo salama, ndoa yako itadumumilele. Kwa vile hamkuzaliwa wala kukua pamoja, tofauti ndogo ndogo huwa zinakuwepo na zitaendelea kuisha taratibu kadiri mnavyosomana...
 
Yaani ni tabu ukichelewa kurudi kidogo tu lawama kibao.

ukisema utembelee shost zako huruhusiwi na maneno kibao.

kibaya zaid mume huyu ni bingwa wa kununa kitu kidogo atanuna siku saba! Loh ! Bora nibaki sinngle mie ..

Nadai taraka yangu
Mfyuuuh kahaba aolewi mdada..!
 
Kazi anayo mumeo, alimbeba abiria ambae hajawa tayari kwa safari. Njoo huku mwaya umalize hamu zako ukiwa tayari utaolewa tu wanaume siwapo, kwanza kuolewa kitu gana bana.
 
Yaani ni tabu ukichelewa kurudi kidogo tu lawama kibao.

ukisema utembelee shost zako huruhusiwi na maneno kibao.

kibaya zaid mume huyu ni bingwa wa kununa kitu kidogo atanuna siku saba! Loh ! Bora nibaki sinngle mie ..

Nadai taraka yangu
eee dai taraka mapema kijana wa watu apumue... we uchelewe kurudi unategemea nini...
mara kutembelea mashost huna kazi za kufanya huo mda?
 
Siwezi vumilia mi ni mtu wa kujirusha yeye anakata tushinde ndani tu wkend zote
Sasa we umeshakuwa mke wamtu utatakaje starehee yakwenda kujirusha nakumuacha mumeo nyumbani hata kama mm nisingekuruhusu
 
Yaani ni tabu ukichelewa kurudi kidogo tu lawama kibao.

ukisema utembelee shost zako huruhusiwi na maneno kibao.

kibaya zaid mume huyu ni bingwa wa kununa kitu kidogo atanuna siku saba! Loh ! Bora nibaki sinngle mie ..

Nadai taraka yangu
Kuanzia bandiko lako la kwanza baada ya kile ulicho kiita ndoa, niliandika maneno haya nikiyaruda.....
Nasikitika kusema kwamba mume wako hajapata mke.
Mwisho wa kunukuu
 
Back
Top Bottom