Najuta kuolewa!

Najuta kuolewa!

Yaani ni tabu ukichelewa kurudi kidogo tu lawama kibao.

ukisema utembelee shost zako huruhusiwi na maneno kibao.

kibaya zaid mume huyu ni bingwa wa kununa kitu kidogo atanuna siku saba! Loh ! Bora nibaki sinngle mie ..

Nadai taraka yangu
ulimpenda mwenyewe... waweza kumchukia mwenyewe
 
Yaani ni tabu ukichelewa kurudi kidogo tu lawama kibao.

ukisema utembelee shost zako huruhusiwi na maneno kibao.

kibaya zaid mume huyu ni bingwa wa kununa kitu kidogo atanuna siku saba! Loh ! Bora nibaki sinngle mie ..

Nadai taraka yangu
Hakuna cha talaka, umesahau kuwa sisi huwa hatufungi ndoa, tunafunga pingu za maisha!
 
Hakuna cha talaka, umesahau kuwa sisi huwa hatufungi ndoa, tunafunga pingu za maisha!
Ilikuwaga zamani kwa bibi zetu kwasababu shule yao ilikuwa ndogo lkn Leo Hi Mimi moniccca na elimu yangu hii bado nifanywe kama ng'ombe kufungiwa saa kumi na mbili! Loh hapana
 
Ilikuwaga zamani kwa bibi zetu kwasababu shule yao ilikuwa ndogo lkn Leo Hi Mimi moniccca na elimu yangu hii bado nifanywe kama ng'ombe kufungiwa saa kumi na mbili! Loh hapana
Unazungumzia ndoa za serikali au za kimila, lakini zile kwa jina la Bwana bado ziko vilevile. Ni pingu za maisha hapo huchomoki.

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
nazifahamu that's why nikauliza hivyo... amefanana na mwanaume anayejivika uanamke.
Tuonane mlimani city Leo iliuamini kuwa Mimi ni mwanamke mrembo wa asili
 
Aiseeeeee!!! Rejea siku za mwanzo mlipokutana ilikuwaje, lakini kumbuka hatua tatu za maisha ya ndoa, mwanzo ni matamu kama asali,hatua ya pili ni machachu kama limau na tatu ni chungu kama pilipili, kikubwa hapo sio kudai taraka kaa nae chini umweleze nini unachotaka na yeye akueleze hapendi nini kisha mfikie suluhisho. Maana hatujui mwanzoni mlipokuwa mnabembelezana mlikubaliana nini
 
Nafikiri unatakiwa ubadili namna ya kuishi, ulikula kiapo cha kuwa na huyo mwenza wako siku zote za maisha yenu hapa duniani. Na ukitaka kufurahia, toa sadaka baadhi ya mambo ambayo ni kero kwa mwenzio kama hayo. Nina hakika, hata yeye kuna baadhi ya vitu alipenda kufanya ila ameacha kwa sababu yako.
#FurahiaNdoa
Ushauri huo unampa monicca? Ahahahahahahaa unatwanga maji kwenye kinu mkuu
 
Monnica pole?

Fanya mpango asababishe japo MIMBA..., inaweza kumtuliza akawa anarud mapema. na wewe hutakumbuka tena kwenda kujirusha !!!! [emoji124] [emoji124]
 
Umeona eeeee!!!! Hayo mambo ya mlimani city inawezekana hayapendi
 
Back
Top Bottom