naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Bora una mchumba, kwa monicca suruali ungevaa begani, muonee huruma me mwenzioNingekuwa sina mchumba ww ungekuwa wangu,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora una mchumba, kwa monicca suruali ungevaa begani, muonee huruma me mwenzioNingekuwa sina mchumba ww ungekuwa wangu,,
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Moniccca my BROTHER, keep it cool
Hukuzijua tabia zake kabla hajakuoa?Siwezi vumilia mi ni mtu wa kujirusha yeye anakata tushinde ndani tu wkend zote
mwanagu, ulitaka uingie kwenye ndoa na tabia za kujirusha????Siwezi vumilia mi ni mtu wa kujirusha yeye anakata tushinde ndani tu wkend zote
Halafu mnakosea jina lake bana.Anaitwa moniccca sio monicca.Ni Monicca tena!
Anakuridhisha lakini?Maana topics zako zina ukakasi wakati mwingine.Siwezi vumilia mi ni mtu wa kujirusha yeye anakata tushinde ndani tu wkend zote
Kujirusha na mumeo ama mchepuko?Nataka niende kijirusha
Ha haa na analo kweliNaomba mdada mmoja kama Valentina hivi anisaidie kukuambia 'unalo'!
Nini tena wakati keshafanya maamuzi ya kudai talaka???Vumilia
Siwezi vumilia mi ni mtu wa kujirusha yeye anakata tushinde ndani tu wkend zote
Hongera aendelea hivyo hivyo mwaya
Natafuta kitufe cha likes sikioni. Hawa ni wale waliokuwa day worker, hashindi nyumbani nanhii inawaka moto.Sasa ulitaka ukiolewa uendelee kuishi kibachela kwa kujirusha na mashosti wako?
Jipange kiakili