Najuta kupangiwa field Mtwara

Najuta kupangiwa field Mtwara

hizi tambo za vyuo vyenu vinahusiana vp na maada??km ww umepata usimdhihaki ambae hajapata!!mwisho wa cku uraiani hautapimwa kwa jina la chuo ulichosoma bali kwa ulicho achieve maishani
 
Wandugu.. maisha yangu ni magumu baada ya bodi kushindwa kutoa hela kwa wakati.. sasa nakula Mapapai asubuhi ilinijikimu maisha huku Mtwara ndugu zangu wa huko Dar es salaam, pamoja na wanafunzi wenzangu tujiulize hali hii itaenda mpaka lini? jamani wanachuo wenzangu huku tunakula matunda kama ndege usiku na mchana..jamani ifikiwe wakati bodi mtuonee huruma sisi watoto wa wawakulima.. mungu awabariki wadau
Rais wako wa nchi anasema huko Marekani nchi yetu hali ya maisha ya wananchi yame improve,ndio hayo sasa naamini na Hazina haina hela,watanzania tuna kazi.
 
Eat more fruits,the slogan says!!

Tatizo umezoea kula matunda mpaka uhimizwe na Dr.
 
mlishauriwa toka mwanzo mu apply ARDHI UNIVERSITY chuo kilicho strictly n kinachoheshimika mkaleta pozi na kujishebedua kisa kijiji unachotoka ukiongelea chuo kikuu wanakifaham udsm peke ake...sasa mnakufa njaa na "tai shingoni" ya kuishi hall 2 na 5...izo pesa za field ardhi 2lishapewa since wakati 2nafanya U.E na saizi zishaisha na 2mesahau ka zilitolewa.2naendesha mausha kwa wayz nyingine...sasa utatambua ka udsm ni chuo kikuu or chuo kikubwa

Jinga kabisa, limbukeni Wa chuo. Sasa kama hapo Ardhi hakuna kozi aliyotaka kusoma? don't make fun the problems of your fellows!
 
hizi tambo za vyuo vyenu vinahusiana vp na maada??km ww umepata usimdhihaki ambae hajapata!!mwisho wa cku uraiani hautapimwa kwa jina la chuo ulichosoma bali kwa ulicho achieve maishani

Uko sawa kaka, kuna watu hawana akili kabisa. Sasa mwenzako hajapata we umepata then unamdhihaki, tatizo we don't think of tomorrow!
 
kinachosikitsha zaid wote ni watoto wa baba m1 kwa maana ya utanzania tena vijana na viongozi wa leo na kesho...embu tuache utoto km huu wa baadhi ya wa2 wanaofanya jf ionekane ni ya kihuni na n sehem ya kupotezea muda
 
Jaman xory anayejua lolote kama kuna majina y waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu anipe rpot nmechaguliwa wap! Jina n KUPELA S KUPELA Nliomba tangu mwez wa 6 jaman mpka leo celew npe jbu 0656287488 nakuomb unayefahamu
 
Waliopangwa kazi kuna kitu wanapata kila mwezi, sasa kwa hawa wa field wanategemea mkopo toka heslb. Labda unamaanisha Nini ktk maandiko yako mkuu?
hii ni tabia ya watoto wa kudesa hawajiamini bure kabisa. try to wear an enteprising mind boy!
 
wandugu.. Maisha yangu ni magumu baada ya bodi kushindwa kutoa hela kwa wakati.. Sasa nakula mapapai asubuhi ilinijikimu maisha huku mtwara ndugu zangu wa huko dar es salaam, pamoja na wanafunzi wenzangu tujiulize hali hii itaenda mpaka lini? Jamani wanachuo wenzangu huku tunakula matunda kama ndege usiku na mchana..jamani ifikiwe wakati bodi mtuonee huruma sisi watoto wa wawakulima.. Mungu awabariki wadau

tumedharaulika sana mkuu hawaoni shda maana wao wanashiba, tunaongozwa na serikali iliyojaa mafisadi tu! Umewahi sikia dhiara ya rais imekwama kwa kukosa pesa? Ndo uone hapohapo leo yupo marekan anakula bata ww unashindia mapapai,
 
Jaman xory anayejua lolote kama kuna majina y waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu anipe rpot nmechaguliwa wap! Jina n KUPELA S KUPELA Nliomba tangu mwez wa 6 jaman mpka leo celew npe jbu 0656287488 nakuomb unayefahamu

mbona unaanzisha uzi ndani ya Uzi wa mtu?
 
Wandugu.. maisha yangu ni magumu baada ya bodi kushindwa kutoa hela kwa wakati.. sasa nakula Mapapai asubuhi ilinijikimu maisha huku Mtwara ndugu zangu wa huko Dar es salaam, pamoja na wanafunzi wenzangu tujiulize hali hii itaenda mpaka lini? jamani wanachuo wenzangu huku tunakula matunda kama ndege usiku na mchana..jamani ifikiwe wakati bodi mtuonee huruma sisi watoto wa wawakulima.. mungu awabariki wadau

Mleta mada husomeki! Muktadha wa uzi wako una mambo kadhaa! Kujuta- Sehemu uliko Mtwara, Kuishi kwa Mapapai, na Mwisho malalamiko ya kukosa boom au pesa za PT! Sasa usichoeleweka unalalamika kwa kupelekwa Mtwara? Au Unalalamika kwa kuwa Mtwara chakula ni mapapai tu kwamba hamna chakula ila ungepelekwa mji mwingine say Dodoma hela za PT ungepata na usingekula mapapai!? Au Kupelekwa kwako Mtwara kumekukosesha hela za PT. Au unalalamika tu kwa ujumla kuwa kucheleweshewa hela za PT zinakufanya uishi kwa mapapai( sample tu ya chakula kisicho rasmi kwa sababu ya ukata) bila kujali sehemu uliyopo ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
 
Mimi nilishauliza hayo, labda hazina kuu ipo Mtwara!! au aliwazaje,,,, more????????....
well CHAZA
 
Last edited by a moderator:
Waliopangwa kazi kuna kitu wanapata kila mwezi, sasa kwa hawa wa field wanategemea mkopo toka heslb. Labda unamaanisha Nini ktk maandiko yako mkuu?
usijute. ni mwiko kujuta ktk maisha kwani hata ukijuta haitakusaidia maishani
 
Wandugu.. maisha yangu ni magumu baada ya bodi kushindwa kutoa hela kwa wakati.. sasa nakula Mapapai asubuhi ilinijikimu maisha huku Mtwara ndugu zangu wa huko Dar es salaam, pamoja na wanafunzi wenzangu tujiulize hali hii itaenda mpaka lini? jamani wanachuo wenzangu huku tunakula matunda kama ndege usiku na mchana..jamani ifikiwe wakati bodi mtuonee huruma sisi watoto wa wawakulima.. mungu awabariki wadau

Safi mkuu unatoa sumu mwilini
 
Back
Top Bottom