Najuta kupangiwa field Mtwara

dogo pole sana. nakuombea upate hela. lakini shukuru Mungu unakula hata matunda. matunda yanaleta afya mwilini sana hasa hayo mapapai yana vitamin A nyingi na yanalainisha ngozi. utanawiri. huku maofisini sisi kaka zako mchana tunakula zaidi matunda kuliko mavyakula ya wanga, hivyo icho chakula unachokula huko huku bongo tunakitafuta na ndicho tunakula kila siku mchana. nakushauri vumilia, huo ni mtihani wako wa maisha ili ujifunze kuishi ktk kila mazingira, mazingira magumu na malaini, siku ukija kupata nafasi nzuri utaitumia vilivyo kwasababu utakuwa unakumbuka safari uliyotoka. pole.
 
Waliopangwa kazi kuna kitu wanapata kila mwezi, sasa kwa hawa wa field wanategemea mkopo toka heslb. Labda unamaanisha Nini ktk maandiko yako mkuu?

dogo pole sana. nakuombea upate hela. lakini shukuru Mungu unakula hata matunda. matunda yanaleta afya mwilini sana hasa hayo mapapai yana vitamin A nyingi na yanalainisha ngozi. utanawiri. huku maofisini sisi kaka zako mchana tunakula zaidi matunda kuliko mavyakula ya wanga, hivyo icho chakula unachokula huko huku bongo tunakitafuta na ndicho tunakula kila siku mchana. nakushauri vumilia, huo ni mtihani wako wa maisha ili ujifunze kuishi ktk kila mazingira, mazingira magumu na malaini, siku ukija kupata nafasi nzuri utaitumia vilivyo kwasababu utakuwa unakumbuka safari uliyotoka. pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…