Najuta kupoteza muda wangu kuangalia Ujinga uliopo Kwenye series ya money heist


Wewe jamaa ni kichwa panzi sana, yani huoni kabisa akili inavyotumika kupambana na changamoto..??
Anyway ni haki yako kuongea, nimecheck series nyingi ila Money Heist ni moja ya series nzuri duniani
 
Baada ya Berlin kufariki sijaangalia tena.
Kiufupi hamna cha maana wakikaa kidogo wanagongana.
Hata Wakorea wanaseries nzuri tu za heists kuliko huu utopolo wa La Casa.
Mambo ya kugongana yamekuchosha
 
Upo sahihi, hii ni kama Lost tu. Inatangazwa ila ni ukolo mtupu. Inatengeneza suspense zisizo na akili ili uendelee kuicheki. Inarefusha mambo bila msingi. Haina tofauti na series za Kikorea.
 
Baada ya Berlin kufariki sijaangalia tena.
Kiufupi hamna cha maana wakikaa kidogo wanagongana.
Hata Wakorea wanaseries nzuri tu za heists kuliko huu utopolo wa La Casa.
Wewe huko uliko hugongwi?

#MaendeleoHayanaChama
 
Movie nyingine watu sijui wanazishadadiaga nini ona movie kama fast and furious 9(F9)hata sielewi pia kuna uongo wa kutosha tu mle movie nyingine ya ovyo ni wrong turn 6 the last resort
 

Hivi Traveller tatizo lilikuwa nini mbona watu wengi waliipenda, sema eti data zikasema watu hawaangalii ikawa cancelled..sawa ila nahis kuna vitu flan uko nyuma ya pazia vilifanya ile series kuzimwa
 

Uchambuzi murua. Asipokuelewa hapo tena basi ana kiburi.
 
Umejitahid kumaliza season ya kwanza ww mm hata iyo ya kwanza cjaimaliza nimeona hamna kitu! Nimeachana nayo nimeshtuka zaman sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…