IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Sachi googlenashukuru mkuu,ngoja niitafute hiyo app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sachi googlenashukuru mkuu,ngoja niitafute hiyo app
nashukuru mkuu,ngoja niitafute hiyo app
ukiisachi series ukipata click then nenda kwenye download kama inavoonesha italeta size au mb ya series kama unavyoona gusa apo short time tayri cheki download ya chin kabisa
View attachment 1556997
Oknashukuru sana mkuu nimeiona app natak nidownload sasa.shukrani sana mkuu
Traveller....walitukosea sana kuachana kitu..tangu miaka hiyo hadi Leo jina la Will Traveller halitoki kichwani mwangu.
Money Heist imepoteza mvuto kiasi baada ya watu kuanza kuifananisha na Prison Break tatizo likaanzia hapo.
Angalia tu "Banshee" ni ya muda but inaonekana inakufaa kwa Series ulizo mention hapo zipo 4 seasons mzigo ulishaishaga.
Mkuu achana na hizo kina traveller sijui,yani eti wanafananisha na mashine yenyewe prison break, kuna watu wapuuzi sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kama umetumia muda wako kuangalia Seasons 4 ambazo ni ujinga mtupu; sasa mjinga hapo ni nani?!
Money Heist ipo overrated sana, na ninashangaa sana watu wanapofikia hadi kumlinganisha Professor na Michael Scofield wakati Michael kafanya yote kwa kutumia kichwa 99% huku Professor akisaidiwa sana na techHizi nyingi ninezitazama na kuzikubali, The Wire, Sopranos, Breaking Bad, Homeland etc
Ila hii Money Heist Ni rubbish, total rubbish,. Haina uhalisia, inawafanya wale Polisi kuwa incompetent kupita kiasi na yule professor kuwa mtu nwenye6 bahati kupita uhalisia Ni ujinga
Naona tumetofautiana kwenye taste honestly napenda series za ngumi zenye story nzuri kuliko zile zenye ngumi mwanzo mwisho no story na banshee imenikamata kweli kweli although kulikuwa na ngono lakini haiondoi ubora wake.Ngono nyingi halafu za wazi wazi kama unaangalia porno halafu ni story sana. Angalia Into the badlands (kama umeshaangalia) kisha angalia Wu Assassins kama haujaangalia wu assassins kaitafute. Series kama hizo ndizo napenda.
Binafsi tokea nilivyoangalia season 1 sikuwa na mzuka Tena wa kuangalia season zinazofuata tatizo la hii series Ni Kutaka kuirefusha bila kuwa na matukio ya kuvutiaAbsolutely. Totally waste of time
SawaMoney Heist Ni rubbish, total rubbish,. Honestly sikumaliza hata season 1 kitu ambacho Ni nadra Sana kwangu
Haina uhalisia, inawafanya wale Polisi kuwa incompetent kupita kiasi na yule professor kuwa mtu nwenye bahati kupita uhalisia Ni ujinga
Ni mapenzi tu ya kitu ndio hufanya kila mtu awe na mtazamo wake, Money Heist ni series nzuri tu na huenda main character angekua Michael Scofield angekiri ni series poa, sababu kuna watu mpaka leo wanaamini Michael Scofield ana akili sana wakati ile ni character tu.Huo ni mtazamo wako, hata hizo wewe unaziziona za maana wengine wanaona ni upuuzi tu. Maisha ndio yako hivyo.
Aisee kila mtu ana taste yake Wu Assassins sijaelewa kabisa namkubali sana Iko Uwais ila katika hii series sijamuelewa.Breaking bad niliangalia epsode 1 tu ikanishinda. Sipendi series zenye story tu. Nataka za mkono, ngumi, bunduki (muda wote watu wamechafukwa). Money Heist ilinishinda hata kipande kimoja kukimaliza. Lost na The 100 nimeangalia mpaka epsd 5 sijazielewa. Watu bado wapo maporini tu wanazunguka zunguka, hakuna mishe ya kutisha. Wanataka mpaka uangalie mpaka season 3. Series za hivi waangalie wengine
WU ASSASSINS kidogo nimeilewa kama hizo. Muda wote watu wamechafukwa.
Bora hata ungesena into the bad land kuliko wu assasinBreaking bad niliangalia epsode 1 tu ikanishinda. Sipendi series zenye story tu. Nataka za mkono, ngumi, bunduki (muda wote watu wamechafukwa). Money Heist ilinishinda hata kipande kimoja kukimaliza. Lost na The 100 nimeangalia mpaka epsd 5 sijazielewa. Watu bado wapo maporini tu wanazunguka zunguka, hakuna mishe ya kutisha. Wanataka mpaka uangalie mpaka season 3. Series za hivi waangalie wengine
WU ASSASSINS kidogo nimeilewa kama hizo. Muda wote watu wamechafukwa.
Hii kitu siku hizi ipo kimkakati kabisa ni lazima iwepo. Juzi tu nilikua naangalia series ya South Africa Blood and Water nao pia wamewekaMovie ikashakuwa na scene za kishoga inanipotezea mvuto kabisa, Karibu kila series siku hizi kuna mende
Mpaka wakorea nao wana promoteHii kitu siku hizi ipo kimkakati kabisa ni lazima iwepo. Juzi tu nilikua naangalia series ya South Africa Blood and Water nao pia wameweka
Pamoja sana mkuuYan nnazo zote za S1 0-7 daaah traveller walishindwana mikataba, ila kiukweli list yangu ni hii
1. PB hii haijawah kupata mpinzani
2.24 mzee jack ni noma
3. Ni traveller japokuwa haikuisha ila kina Tyler fog walifanya kazi ya kuibeat hiyo MH,