Najuta kupoteza muda wangu kuangalia Ujinga uliopo Kwenye series ya money heist

Aisee nilidhani peke yangu ndo sijaielewa, Sema jamaa wapo vizuri kwenye promotion coz jinsi wauzaji wa muvi walivyo kuwa wakiisifu na kile unachokuja kukioona ni tofauti
 
Aisee nilidhani peke yangu ndo sijaielewa, Sema jamaa wapo vizuri kwenye promotion coz jinsi wauzaji wa muvi walivyo kuwa wakiisifu na kile unachokuja kukioona ni tofauti
Mkuu
Hiyo movie imetafsiriwa ktk lugha mbali mbali

Tafuta ya kiingereza yenye subtitle tuliza kichwa kaa angalia taratibu

Series moja tamu sana
 
Heshima yako mkuu
 
Hakuna series imeniangusha kama Narcos Mexico.. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilimtembelea bibi kijijini, ana tabia za kisela anapenda movie hatari. Likizo ya mwaka jana tumeangalia wote Prison Break iliyotafsiriwa na Ommy DJ, akaipenda sana wanavyotumia akili. Likizo ya mwaka huu akaniambia nitafute series inayofanana na ya mwaka jana (Prison Break), nikaenda kuchukua hii La Casa de Papel iliyotafsiriwa na Master DJ. Japokuwa bibi ni mpenda movie, ila aliiponda kishenzi akaniambia nimbadilishie. Nikahisi labda mtafsiriji haeleweki ndiyo maana kaiona mbaya, lakini hapana, kiukweli imepooza tu.
 
Kiukweli money heist ni class kutokana na asili yake
 
Na ndo maana GOT nayo ilikuwa inakimbiza sana,lkn mm binafsi sijawahi kuikubali mbele THE WALKING DEAD
Sidhani kama GOT waliipenda ajili ya sex scene maana haina sana sex kama series ya banshee. Ina vitu fulani huwezi kuvipata kwenye series yoyote ile. The walking dead my favorite pia
 
Sidhani kama GOT waliipenda ajili ya sex scene maana haina sana sex kama series ya banshee. Ina vitu fulani huwezi kuvipata kwenye series yoyote ile. The walking dead my favorite pia
GOT ina vitu gani ambavyo uwezi kupata kwenye series nyingine? tuanzia hapo
 
GOT ina vitu gani ambavyo uwezi kupata kwenye series nyingine? tuanzia hapo
Wewe ushazoea series za kikorea watu kukimbizana mapanga.
Unadhani kwanini GOT ndio series ambao viewers wake walikua wqnaongezeka na sio kushuka, unadhani kwanini imejibebea matuzo mengi na inaitwa series bora zaidi duniani??
 
Historia ya koo za kifalme na matukio ndani
Ya GOT ni zaidi ya historia tunazofundishwa
Primary hadi advance , aliye tunga ile ni zaidi
Ya Genius .

Sent from my SM-G965F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ushazoea series za kikorea watu kukimbizana mapanga.
Unadhani kwanini GOT ndio series ambao viewers wake walikua wqnaongezeka na sio kushuka, unadhani kwanini imejibebea matuzo mengi na inaitwa series bora zaidi duniani??
Bado ujajibu hoja upo nje ya hoja kushinda kwake tuzo au kuwa na viewers wengi Hilo halinihusu nimekuuliza hiyo series ina vitu gani au uspecial upi ambao series zingine hazina? Hilo ndio swali la msingi hayo mengine siitaji
 
Hivi ujui mpaka leo wabongo wanapenda X ndio maana walisema ni season bora
 
Bora umenistua mapema nilikuwa njiani kuitafuta ni donload maana waliipamba sn,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…