Kama wewe ni mhitimu wa kidacho cha sita au una mdogo wako kamaliza kidato cha sita na unaplan kumshaur achague kusoma UDOM especial hii college ya INFORMATICS, nakushaur ufikirie mara mbili zaidi, naamin kabisa wanafunz wote wanaosoma hapa wangepewa second chance ya kuapply vyuo upya hii college isingebaki na mtu. Jaman ni mateso kusoma infomatics, bt kama unaona nakutania jaribu uone, niombeeni tu nimalize mwaka wangu wa mwisho.