Najuta kusoma UDOM.

Najuta kusoma UDOM.

Status
Not open for further replies.

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
756
Reaction score
751
Kama wewe ni mhitimu wa kidacho cha sita au una mdogo wako kamaliza kidato cha sita na unaplan kumshaur achague kusoma UDOM especial hii college ya INFORMATICS, nakushaur ufikirie mara mbili zaidi, naamin kabisa wanafunz wote wanaosoma hapa wangepewa second chance ya kuapply vyuo upya hii college isingebaki na mtu. Jaman ni mateso kusoma infomatics, bt kama unaona nakutania jaribu uone, niombeeni tu nimalize mwaka wangu wa mwisho.
 
Wewe hebu funguka vizur tatizo ni nin?mie nimemaliza hapo japo nilikuwa social sayans ila nilikuwa narafik zang weng hapo sijawah wasikia wakijuta na sasa wapo kwenye hajira zao

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom