Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Mkuu, sikutambua kama kuna umafia wa kiwango hicho, kumbuka kadi nimekabidhi mlangoni tayariMkuu ungeingia mlango wa wenye zawadi, wakati wa zawadi waambie umesahau weka ahadi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Bahili
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nilifika harusini, na kukuta milango miwili, mmoja umeandikwa ndugu wa Bwana Harusi, mwingine wa bibi harusi; nikaingia wa Bwana Harusi. Mbele nikakuta milango mingine miwili, mmoja umeandikwa wanaume, mwingine wanawake; nikaingia wa wanaume. Mbele nikakuta milango mingine miwili, mmoja umeandikwa Wenye Zawadi, mwingine Wasio na zawadi, nikaingia mlango wa Wasio na zawadi, GHAFLA NIKAJIKUTA NIPO NJE YA JENGOπ‘π‘π‘