Najuta Kutobeba zawadi kwenye harusi

Najuta Kutobeba zawadi kwenye harusi

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
1,979
Nilifika harusini, na kukuta milango miwili, mmoja umeandikwa ndugu wa Bwana Harusi, mwingine wa bibi harusi; nikaingia wa Bwana Harusi. Mbele nikakuta milango mingine miwili, mmoja umeandikwa wanaume, mwingine wanawake; nikaingia wa wanaume. Mbele nikakuta milango mingine miwili, mmoja umeandikwa Wenye Zawadi, mwingine Wasio na zawadi, nikaingia mlango wa Wasio na zawadi, GHAFLA NIKAJIKUTA NIPO NJE YA JENGO😡😡😡
 
Unashangaa nini kwani ulikua na zawadi? Siku nyingine ujipange, kwani mkono mtupu haulambwi
 
Yaani wewe umenifanya kidogo nipaliwe.
I didn't see it coming Walahi
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Back
Top Bottom