Najuta kutotembea na mke wa rafiki yangu

kwanza hongera kwa kulishinda mtihani mkubwa kama huu ninakushauri mimi usijute, kama unaweza kujitenga nao poa itakuwa vyema zaidi kwako na pia kwa usalama wa maisha yako, jambo jingine wewe usije ukamwambi huyo jamaa kuwa mkeo yuko na fulani usifanye hivyo kamwe utajiweka matatani zaidi na mwisho uwe na moyo huohuo kwa kufanya hivyo Mungu atamlinda mkeo pia
 
Nina jamaa yangu mmoja ambaye ni rafiki yangu na tumefungua ofisi (kampuni) yetu.
Ameoa mke mrembo ile mbaya. Yule mke akawa ananitaka, mi nikamtolea nje. Basi akawa ananifanyia visa hadi rafiki yangu akahisi mimi natembea naye. Lakini mimi nikamthibitishia kuwa sijawahi. Sikumwambia kama mkewe alikuwa ananitaka. Sasa hivi mawasiliano na jamaa yamekuwa mabovu na pia mimi na mkewe hatuna mawasiliano mazuri, kisa nimemkataa.

Nimekuja kuthibitisha kuwa huyu mkewe jamaa anamegwa na jamaa yetu mwingine (partner) wa kampuni yetu. Jamaa mwenye mke hajagundua hiyo ishu, bali anahisi kuwa mimi ndo nakula mzigo wake...sijui mkewe kamwambia nini!
Kutokana na mtiririko wote huo, mahusiano ni mabaya sana kwangu na pande zote tatu nilizozitaja. Na sasa nawaza kujitoa katika kampuni yetu kwani sina raha na nahofia maisha yangu...

Kwa hali ilivyo, najuta kwa nini sikutembea na mke wa rafiki yangu.

kiritimba
30.11.2011

Unajutia upupu na laana?
 
Ukweli ni silaha.ww inaonekana ulikuwa rafiki wa mashaka. Chunga sana,ktk mambo mabaya ni pamoja na kutembea na mke wa rafikiyo. Mbona loose ball zipo nyingi kwanini ukagombanie mipira na kina drogba? Huwa siungi mkono kuanzisha jambo kama kampuni halaf ukala kona coz huwa najua nguvu iliyotumika mwanzoni ni kubwa. Cha msingi kuanzia sasa weka mambo binafs kando,piga kaz. Ngono haina shujaa,kama yupo tujuze
 
aise washkaji wote mliooa,nawapa pole na pongezi nyingi sana...
 
Nina jamaa yangu mmoja ambaye ni rafiki yangu na tumefungua ofisi (kampuni) yetu.
Ameoa mke mrembo ile mbaya. Yule mke akawa ananitaka, mi nikamtolea nje. Basi akawa ananifanyia visa hadi rafiki yangu akahisi mimi natembea naye. Lakini mimi nikamthibitishia kuwa sijawahi. Sikumwambia kama mkewe alikuwa ananitaka. Sasa hivi mawasiliano na jamaa yamekuwa mabovu na pia mimi na mkewe hatuna mawasiliano mazuri, kisa nimemkataa.

Nimekuja kuthibitisha kuwa huyu mkewe jamaa anamegwa na jamaa yetu mwingine (partner) wa kampuni yetu. Jamaa mwenye mke hajagundua hiyo ishu, bali anahisi kuwa mimi ndo nakula mzigo wake...sijui mkewe kamwambia nini!
Kutokana na mtiririko wote huo, mahusiano ni mabaya sana kwangu na pande zote tatu nilizozitaja. Na sasa nawaza kujitoa katika kampuni yetu kwani sina raha na nahofia maisha yangu...

Kwa hali ilivyo, najuta kwa nini sikutembea na mke wa rafiki yangu.

kiritimba
30.11.2011

...umenusurika ila hujitambui.... "aheri nusu shari kuliko shari kamili!"
 
Achana na wake za watu wanaojilengesha ni noma saana, wachawi wakubwa hao mi nshammega mmoja nilitamani kugeuka upepo liliposasambuka.

Achana nao waogope zaidi ya ngoma kama ebora vile kamata maloose yapo ya kumwaga uzuri ni wa njee tu akikuvulia unawezajuta kaa sanamu la michelini
 
utaliwa kiboga dogooo... shukuru Mungu amekuepusha
 
Back
Top Bottom