Najuta kuwa karibu na shemeji zangu! Nisaidieni

Umefanya kosa kubwa sana, tafuta namna ya kuweza kumaliza hiyo kesi!
 
Da inanuma nakosa raha kabisa!nikiwa nae kila akufungua mdomo nashtuka nahisi tayari kashajua yani sina raha ila nitamwambia!i m sorry guys!
 
Ndugu,

Sheria HAIPO, kama ipo na haifanyi kazi au haitekelezwi waweza kusema ipo! Lililopo ni kumkamata wenyewe tukajichukulia sheria mkononi

Sheria kama sheria ipo maana kufutwa kwake ni mpaka muswada upelekwe bungeni kuitengua sheria husika
Adhabu ya kifo ipo pale pale na bado washtakiwa wanaopatikana na hatia wanahukumiwa kunyongwa kama kawaida
Sema ule utekelezaji haupo wa Rais kusaini watu hao wakanyongwe
 
what a familly.....your girlfriend has.....

with family like those who needs enemies?????????

And a matured person does not need a degree to know where the problem is...its like going through vicious cycle. You try to run away from this problem only to find out that you have dug yourself into another big problem. By the way why go around with sisters? anything unknown to prove in this world?
 


Above all that atasingiziwa shetani
Shetani alinipitia
mambo mengine ni kujipeleka kama mbwa anapojipeleka kwa chatu huku anaenda kumezwa
Ulikuwa na uamuzi na maamuzi ya kukataa na kumkatalia shemejio kufanya hicho ulichofanya
Hukuwa na madhaifui kiasi cha kushindwa kujizuia wala kukataa ila tamaa zako za kutaka kuonja kila mwanamke unayemuona ndio zilikupelekea kufanya hivyo
 
si tabia njema hata kidogo,kwakuwa pia unakiri kukosea ni vema kumweleza shemejio juu ya mstakbali wa maisha yako na dada ake baada ya hapo mwepuke kama ukoma na jifunze kumheshimu your real gf wako.safari bado ndefu mkuu!
 
i am so sorry guys, i am not quiet sure why i did this, i feel a burde on my shoulders, i felt members in jf will my lean on point but most of them are pushing me on the turnel!please guys accept my a apology, i am even planning to talk with my girlfriend about this in the coming two to three days! i am sorry,
 
duh nouma...anyways ilishatokea na cha msingi mwana wewe a hana na vf wako huyo coz umimwaambia she will no longer trust u na ndoa bila trust hamna kitu. its the price u pay son!!!!!!
 
Omba hawa kina dada wasiungane, they will have ya balls for barbecue
 
pole sana mkuu, ndio mapito hayo japo uliyataka mwenyewe.
niwakati wako kupambana na hiyo hali, kumwambie gf wako hitaleta tabu san hitaenda mpk kwny familia ikawa sooo. hat ukimwambia hatakuamini tena mkuu bora angekuwa best yako ila damu moja nommaaaaaaaaa.......
 
Sasa unajuta nini wakati you knew what she wanted and gave it to her?
Alafu kwa nini unataka kumlazimisha dada mtu aje na mdogo wake mkiwa manatoka kama wapenzi?
Ninavyo ona mimi ni kwamba unataka kumwambia GF wako ili akukatae alafu uendelee na mdogo wake.
Yote poa tu, but be responsible for what you do, usijifanye wewe ndio victime hapa!
 
Usimwambie demu wako utagombanosha ndugu acha hiyo mambo wewe!
 
Siku nyingine ufikirie kwa kutumia kichwa kikubwa na sio kichwa kidogo
 
Kwa kweli hiyo familia kiboko! Na the fact that huyo dada hajakuonya kuhusu ndugu zake itakuwa ndo michezo yao tu. Kimbia baba, hapo hata ukioa watakuja kuwataka na wanao wawabemende, sorry nimekosa neno laini!
Kuna vitu havifai kula hata kama u mroho aje. Wewe mwenyewe ni kimeo anyway!kimbia uokoe wanao, manake walau ukipata familia decent watoto watapata mfano.
 
Wakati unado uli onja alcohol nn? Hebu tuambie whats your choice hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…