Najuta kuwa karibu na shemeji zangu! Nisaidieni

duh.... ama kweli life is full of suprises!!!
 
Na wewe una tamaa umelikoroga sasa ..... ,Kuna mtu alikuvuta kwenda ku do na shemeji yako?Nahisi hawa wachumba zako huwa wanasimuliana juu yako:A S-coffee:
 
lakini may be hiyo ni sign ya hiyo family kwamba hao wadada hawajatulia, haiwezekani wew ukamtongoza shemeji yako hafu baada ya kufanikiwa unamwambia na mwingine haijatulia kabisa wana kamchezo ambao wanaucheza hao, nawe ulifanya vibaya but ishatokea ila kama ulivyosema wataka kumweleza huyo gf wako ni bora umwambie mapema.
 

kufa nayo kiume, wanaume tunafichaga siri ngapi? mbona una roho nyepesi hivyo?
 
Ulifanya makusudi,dnt play innocent.

Msijifanye mnamshambulia kihivyo, haya mambo yanatokea mpeni solution, kwanza yeye kulileta hapa tayari anaonyesha apology, nyie mambo manapi ya aibu na ajabu kuliko hili mnafanya halafu mnajifanya kumshambulia hapa, we nanii wewe.
 
inaonesha unapenda sana ngono ndio maana ukamkubalia acha ngono kijana tulia maisha hayaendi hivyo na kwa taarifa yako huyo Gfr wako iliishakula kwako wameishaambizana kila kitu
 
inaonesha unapenda sana ngono ndio maana ukamkubalia acha ngono kijana tulia maisha hayaendi hivyo na kwa taarifa yako huyo Gfr wako iliishakula kwako wameishaambizana kila kitu

pole sana Mtoahoja, mi siwezi kukulaumu sana kwani sijui mazingira yote hii mambo ilivotokea, ila tukubali tusikubali haya mambo yanatokea sana! HATA SAMSON NYWELE TU ZILIMMALIZA PAMOJA NA MIGUVU YAKE YOTE so tusimlaumu sana lakini lazima uangalie jinsi ya kuhandle hii ishu make imekaa vibaya.
1.inawezekana ni mchezo wao wa siku nyingi labda u are so strong kwenye bed
2.Inawezekana hawa wawili hawapendi umuoe dada yao labda wivu unawasumbua
3. Inawezekana washaambizana na wote wanajua sema gf wako anakusilizia
4.Inawezeka hata sio wote wako ivo na labda ukisema unaweza kuleta ugomvi ndani ya familia
5. Tenga muda mzuri, nenda beach kafikirie sana jinsi ya kutatua hili tatizo kweli uliteleza na haya mambo ni kawaida kwa wanaume! Gigs wa man u katembea na mke wa mdogo wak e for ten years consecutively but finaly the recoinciled so think on it!
 
thanks guys for your good and chelenging advise, i do appriciate for what u contributed on thisn topic, no one to blame other than me myself and i, its a result from wrongs doing commited by myself, i feel bad for everything, i bag sorry to you guys to my gf, to my brothers and sisters, sorry to my homies and best friends of mine, its a learning point to me and you too! if you could be able to open my heart just a single sec and look the way how i think and feel this situation!its a mercy!

Life it is a long journey, it is a mix of good and bad things, a combination of wrong and good doing! i am saying this from the deepest of my heart, i did this with no intention to betray my love, i love her n i always respect her, i am not quite sure what happened!anyway i ray this in a her hands in a secret way, i promise to take my time and think on it, currently i need a leave just to go outside the city then when i will be back, surelly i will be having something to decide on this puzzled event!

thanks guys
 

This contains alot of doubts. Huenda huyo gf wako aliwafanyizia hao dada zake nao wameamua kulipiza kisasi
 


What a heart breaking story!!! Imeniaribia siku yangu kabisa. Pole kwa gf wako..........laiti angejua............
 
Alidhamiria bwana. Mpaka wameenda kupima HIV! Walijipanga hao.
 
Sipati picha dada wa watu asikie hiyo stori atakavyo jisikia................na mbaya zaidi aisikie kwa third part. Kamwambie ukweli mapema usiendelee kumtesa jamani.
 
Umechemsha vibaya mi naona usepe wache wote jipange upya.
 
wewe jamaa umewadhalilisha sana dada zetu..hata kama huyo dogo alikuwa na stimu zake ila wewe ulikuwa kwenye nafasi kubwa sana ya kuweza kukataa
tamaa,,...

namshauri awamwage woote aanze upya na mwingine hiyo ni laana tayali!
 
Hapo mkuu hiyo familia ni ya kisanii wewe cha kufanya chapa mdogo mtupu chapa dada mtu kisha wamwage wote.

Hiyo familia siyo kabisaaaa! Na wewe ndo hufai na akili pia huna!Visa vingine mkaage navyo tu mana humu mkileta mnatutia hasira tu!:hatari::frusty:
 
umefanya kitu cha hatari kweli ndugu dah lkn utavuna ulichpanda kwani penzi ni kikohozi siku utaumbuka tu na ukiumbuka naomba uje useme tena humu jf tukushauri.
 
Majuto ni mjukuu siku zote.mkiambiwa hamsikii.
 
Hiyo familia siyo kabisaaaa! Na wewe ndo hufai na akili pia huna!Visa vingine mkaage navyo tu mana humu mkileta mnatutia hasira tu!:hatari::frusty:

yaani kabla ya kuanza kuwalaumu hao kina dada naanza ba mleta uzi,huyu ndio mjinga kabisa,tena ni mvivu wa kifikiri na kuchanganua mambo. hao wameona una kauwezo,na kwa kuwa dada zetu siku hizi ukiwa na gari yaani wanakuona ndio umeshayapatia maisha na unazo za kutosha, so huyo bint kashobokea mdundo,alipokaa siti ya mbele huku unadrive,alitamani ye ndio awe anakaa hapo kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…