Najuta kuwa karibu na shemeji zangu! Nisaidieni

Mkuu unasubili nini kumvua huyo dogo?
 

Taz. . Umesahau na ukimwi kupima wakaenda! Maandalizi yenye akili kabisa tayari kwa kubanjuana lol. .
 
Reactions: Taz
Alafu saa hizi anajifanya kutuuliza afanye nini wakati cha kufanya amesha kifanya. lol
Taz. . Umesahau na ukimwi kupima wakaenda! Maandalizi yenye akili kabisa tayari kwa kubanjuana lol. .
 
we jamaa mpuuzi,haya mambo umeya entertain mwenyewe,tena ht ww ni kicheche.kwa nini umeenda kumchimba mpenzi wako,hukumpenda kwa dhati ulikua bado unajaribu.acha ujinga wako wa kuchanganya ndg utakuja ingia milango mibaya utajuta
 
Aisee njulishe nao, hapo mjomba unakula mpaka mama mkwe maana bendera yafata upepo.
 
Na wewe una tamaa umelikoroga sasa ..... ,Kuna mtu alikuvuta kwenda ku do na shemeji yako?Nahisi hawa wachumba zako huwa wanasimuliana juu yako:A S-coffee:

Ndio maana wote wanamtaka hiyo familia ina tabia za ajabu mpaka kusimuliana mabo ya ndani. MMhhhhhh huyu jamaa ni bora aachane nao huo ndio ushauri wangu
 
mh majuto ni mjukuu it seems you were will to betray your gf hadi ukapma hiv dah you will suffer the consinquences the time she discovers this
 
Kama mdogo gf wako unamalengo nae ya maisha, unaweza endelea kumduu dada mtu lakini ukiwa unampotezea taratibuuuuuuuu, baadae atasahau. Laikini gf wako usimwambie juu ya jambo hili kwasababu unaweza kumkosa pia. Ktk hili atakuchukulia wewe ndio mwenye makosa na si dada yake.
 
Hapo hamna gf wala nin,we chapa dada mtu,pia mwombe namba ya mama yao,kama analipa naye chapa mkuu,mjini hapa bwana,hawana lolote ila tumia kinga hapa mjini watu wanahonga madaktari ili watoe majbu ya uongo..nipe namba ya dada yao
 
Misikushauri uoe kwenye hiyo faimily usikute ndio kawaida yao ukitaka kuoa lazima kila mtu akuonje next day bro usipoangalia atakuja mama mkwe
 
huu ujasiri wa kupiga pepa one na pepa two ata shetani hauwezi!
 
Nielekeze jamani hii familia ipo wapi, its real bad ninapofikiri kinachotendeka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…