Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke muongo weweMwanaume uliyeandikiwa na Mungu atakuja kwa wakati wake, usilazimishe mapenzi. Jirani yetu alimpa mimba house girl wa mtu, mkaka alikua mwanafunzi wa Civil Engineering mwaka wa mwisho.
Dada alifukuzwa kwa boss wake, alimuendea mhusika. Yule kaka akimuweka binti guest mpaka anapata chumba. Walianza maisha vyombo wanaweka kwenye basin hawana hata kabati.
Baada ya kumaliza chuo yule kaka alipata kazi na wakipangisha nyumba nzima walitokea kuwa jirani zetu. Yule dada alitusimulia walikotoka. Wakati huo akijifunza kuendesha gari mume wake alimnunulia.