Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu. Ameharibu ndoto zangu, najiona si binadamu tena

Huyo jamaa aliekuumiza usijaribu tena kumrudia maana ataendelea kukuumiza mahali ambapo umeshapona..cha msingi angalia mbele hii dunia hakuna mahali utakua salama ikiwa huna maamuzi yako binafsi.
 
Mapenzi ukichanganya na makabila utakuja kuniambia. Eti huna degree.... Kama'sio nshomile wote utatujuza hapa jamvini......Maisha yanaendaga bila PhD wala hiyo certificate ..Cha msingi uwe upende unachokifanya ..kariakoo mtu anauza makande pipa Zima kwa siku Hadi azamu wamemuona wakamrusha kwenye tv mnangangania PhD .....xxxxxx
 
Eric shigongo at work
 
Muamini mungu katika maisha yako, nilikuwa na mwanaume ambaye tulipendana sana tukaaidina mambo mengi sana ya kufanya katika maisha mwezangu ikaonekana ana elimu ya juu yaani PHD Mimi certificate,
Tatizo kubwa la wanawake wengi wanataka kutimizia malengo Kwa mwanaume ilhali na ana mipango mingine. Ilibidi umkatae mapema Ila ulipoona ana PhD ukajua utatimizia malengo yako ya kusoma kwake.

Ungekuepo mstaarabu ungejaribu ukubaliane mlee mtoto Kwanza ndio ujiendeleze kimasomo. Ni Nani au mwanaume wachache wanakubali kubakia na mtoto Mwanamke aendee shule kujiendeleza tena mwanaume mwenye PhD kabisa.
 
Hatujasikilza upande WA pili hawa wanawake hawa akiachanq na mtu huwa Wana bwabwaja sana unawezasema kaonewa Nina uzoefu sana na haya Mambo
 
Muamini mungu katika maisha yako, nilikuwa na mwanaume ambaye tulipendana sana tukaaidina mambo mengi sana ya kufanya katika maisha mwezangu ikaonekana ana elimu ya juu yaani PHD Mimi certificate, n
Ni ndoto ipi ya maisha yako ameikatisha wakati bado unasoma!!!
Tena ninachoona baada ya yeye kuwa na phd ww cerificate ndio ukatia hasira kusoma zaidi...
acha kulia lia ndio kwanza kakusaidia ujitambue....
kama hakupendi tena pita vile usilazimishe....
maisha yako yote unalia lia tu ili huyo mwanamume akupende!!!???
punguani wahed
 
Unanyanyaswa kwa kuwa umeshazaa nae, mkiwa hamjazalishwa mna kiburi sana nyie, ila pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…