Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu. Ameharibu ndoto zangu, najiona si binadamu tena

Umeandika vema pongezi πŸ‘πŸ‘
 
Ulikuwa na ndoto gani, kuwa mke wa mtu?
 
Napenda sanaa walokole kwa kupeana matumaini hawajambo
 
Story yako haijakamilika.Tueleze ulimkosea nini? Hakuna mwanaume anapenda kuona mtoto wake akipata malezi bila wazazi wote kuwa pamoja.Lazima utakuwa na kasoro kubwa kitabia.Jichunguze
Kuna Uzi wa kimasihara,
Kaelezea alivyoliwa kimasihara na LECTURERS wake chuoni.

Kiufupi uyu binti hafai kua mke,
Analika kienyeji Sana utadhani Bata mzinga[emoji3525].

Jamaa aliona mbali
 

Ulisoma kwa ajili yake: sasa mnaachana; Kama Huna hela ya kusoma fanya mambo mengine na ulee mtoto!
 
Kuna Uzi wa kimasihara,
Kaelezea alivyoliwa kimasihara na LECTURERS wake chuoni.

Kiufupi uyu binti hafai kua mke,
Analika kienyeji Sana utadhani Bata mzinga[emoji3525].

Jamaa aliona mbali
Sasa mwanamke wa aina hii unawezaje kumuweka ndani ufe kwa presha??

Kisa mtoto? Hakuna mwanaume yupo tayari kuishi na mwanamke mzinzi.Bora uwe mchawi,mnafiki,mchafu n.k Lakini sio kupeleka utamu kwa kidume kingine,Hata Biblia imehalalisha hilo!

Huyu mwanamke anaonekana hana akili.Yaani akapanue mapaja kwa Lecturer alafu ategemee Baba mtoto atamuelewa??

Kweli wanawake wengine hawana akili.
 

Unawezaje kulazimisha kurudiana na mtu asiekutaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wewe umeumizwa na kuharibiwa ndoto zako na sisi wengine ndoto zetu zimeharibiwa na mwanamke.

So usi generalize tatizo lako ishu ni kwamba hakua mtu sahihi kwako if you can move on just move ila Kama Kuna nafasi yakuridisha ndoa just do it
 
Yaani siku hizi kumejaa mapumbavu tuuu hakuna mwanamke was kuoa
 
Muache na samehe uuponye moyo wako, ipo siku atakutamani na wewe hutakuwa na pakumuweka moyoni.
Kivip wakati wadau wanasema wanamke ukisha mzalisha mkiachana ukimtaka hakatai?
 
Huyu mjinga mwenye PhD asikupotezee muda wala kukukatisha tamaa. Amesoma bila kuelimika. Angalia unachotaka maishani ukifanye na kujipanga upya. Kama amekudhulumu malipo ni hapa hapa duniani. We kaza buti usonge mbele badala ya kuishi kwenye majuto japo nawe kuna makosa uliyofanya kujiingiza bila kuyazingatia na kuyapatia majibu. Muhimu, umejifunza kitu na kupata somo na uzoefu. Kila la heri
 
Mo
Yaan wewe soma usikate tamaa,fyta mawazo kuwa mtarudiane,tuko wengi single mother na tushakubali hili cha muhimu soma na degree kabisa mwanaume akishaamua maamuz ameamua ,Mungu atakupa mwingne tena atakufuta machoz.
 
a credible story..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…