4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
hahahaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaa
Tumetofautiana, wewe kama hutaki yeye anataka, am sure sio yeye pekee wapo wengi wanaohisi kuna fursa za KIUCHUMI wamezikosa kulingana na jinsi yake for both side.
Kwani kuwa mwanamke ni laana?? Au kuwa mwanaume ni laana??
Hujachelewaa sanaa,,,unaweza kuwa kama yule jamaa wa Wasafi alieamua kuwa Jichoo,,kajenga misikiti,ana range anasomesha watoto nk.
Jaribu huko
🤣🤣😆😆🤣🤣🤣🤣Still una nafasi ya kupata hayo yote bila kua mwanamke...Tafta basha or Bwana Uolewe...Tena ukienda ughaibuni utapewa kipaombele kabisa na uanamke wako...
Duh na hii mvua Kuna mwamba angekua amekukunja Dogstyle akijiandaa kukojolea ndani.
Bila shaka Huyu Jamaa... mpwayungu village Ni chakula tena Ni #Haluwa... Na anajisikia vizur xana anapoona Maoni ya Watu Mbali Mbali>>>>[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
dah 🤣🤣,make kwanza nichekeBila shaka Huyu Jamaa... mpwayungu village Ni chakula tena Ni #Haluwa... Na anajisikia vizur xana anapoona Maoni ya Watu Mbali Mbali>>>>[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Harafu huyu sio yule jamaa aliwahigi kuomba ushaauli Kuhusu KUNYOA VUZI MAKALIONI.....
#[emoji848][emoji848][emoji848] Shubamiiiiiitiiiii zakeee
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Mambo baby?Kiukweli karibu katika chama Cha kuzimuliwa mtaroo maisha ni mitaroo. Kweli mitaroo sio mbaya ukiizoea so karibu sana .😋😁😁 Kuna watu humu wanapenda lamba lamba kama kuku wa kurost wenye viungoo
Bado hujachelewa kashike bendera ya upinde wakupindue uwe aunt.Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Bhalaa HiliOne man down, over, one man down, i repeat
Maticha wanamuomba mzigoKweli Dunian kuna watu watatu wanawez kukupa laana
Wazazi
Walimu
Wajombo
Sasa huyu ameshapata laan ya walimu waliomlea akawa anawatukana na nazn sasa wapo DM kwake wanamuomba malinda
Maticha wanamuomba mzigo
Wewe lazima Kuna namna, walio karibu na wewe wafuatilieKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe