Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Aisee kwa hizi bata ninazokula huku abroad na maisha ya huku abroad daah sometime najilaumu kuzaliwa Tanzania sio kama nakufuru ila ndiyo uhalisia aisee
Mfano halisi kama bata langu nililokula qatar aisee sio poa nchi iko Well planned hamna longolongo kama hizo nchi zenu za kiAfika zimejaa siasa maji taka tu kiukweli maisha maisha ya Afrika ni hovyo sana narudia najuta sana
Marekani kwanza elimu ni bure na ni shule nzuri na za kuvutia hamna longolongo kuna uhuru wa kuzungumza na kuongea chochote kile
Nasema najuta sana kuzaliwa Afrika ni hovyo kabisa