Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona na wewe unaponda wakati huko USA ndio ulikopatia Elimu kama huku ni bora si ungeendelea kubaki huko Ifakara...Kwanza kabisa nataka kudispell mambo mengi feki kwa hii post ,mm ni mzawa wa ifakara,morogoro Tanzania ,familia ye2 enzi hizo ilikuwa hatuna pesa,Ila mungu alinisaidia kupata wadhamini ,nimesoma kwa assistance mpaka masters level LLM,nchini marekani .
Life in the US to be specific on the surface appears all rosy but middle class na the poor and yes maskini wakutupwa marekani ni wengi Tena Sana ,it's a classic case of failed capitalism ,a simple Google search of homelessness itakupa clear cut disparities of poverty in the US .
Kwa pitapita zangu nlipatana na nurse in San Francisco , a whole educated nurse anaishi kwa gari design ya hiace ndio nyumba hyo , reason bieng skyhigh rental prices in that city ,ilibidi nikodi guest then [emoji23].
Gun violence,racism ,police harassment of people of colour, inflation ,poor pay , education ni way too costly ,bwana ndo ugraduate kule bila scholarship ni milima ya madeni.
The US ni rich on paper but kwa ground mambo ni tofauti Sana ,huko Qatar hitherto I will never ever live ,Sharia law za kisenge tu ,I wish waafrika wangejua how lucky we are ndio Kuna problems here and there but life is simple Sana huku ,I'd rather live in the land of my ancestors than scavenge in foreigners land ,huyu ni mjinga tu mweleweni
Endelea kufurahi ndugu.Ushauri ulionipa jana, nimeshaanza kuufanyia kazi. Shukrani zikufikie!
Si ndio hapo mkuu huyu jamaa shida anaishi zile state za Black America that too much violence na umaskini kama minesota,Georgia na state zingine za kimaskiniMbona na wewe unaponda wakati huko USA ndio ulikopatia Elimu kama huku ni bora si ungeendelea kubaki huko Ifakara...
Unachosema upo sahihi majimbo mengi huko yametofautiana sana uchumi hasa kwa watu weusi...Si ndio hapo mkuu huyu jamaa shida anaishi zile state za Black America that too much violence na umaskini kama minesota,Georgia na state zingine za kimaskini
na picha zako za kudanload!Aisee kwa hizi bata ninazokula huku abroad na maisha ya huku abroad daah sometime najilaumu kuzaliwa Tanzania sio kama nakufuru ila ndiyo uhalisia aisee
Mfano halisi kama bata langu nililokula qatar aisee sio poa nchi iko Well planned hamna longolongo kama hizo nchi zenu za kiAfika zimejaa siasa maji taka tu kiukweli maisha maisha ya Afrika ni hovyo sana narudia najuta sana
Marekani kwanza elimu ni bure na ni shule nzuri na za kuvutia hamna longolongo kuna uhuru wa kuzungumza na kuongea chochote kile
Nasema najuta sana kuzaliwa Afrika ni hovyo kabisa
Understanding ya wengi ni shida , rudia kisoma utafute theme of the post ,elimu sikuanza kule ,nliianza papa hapa ,mpaka sekondari ,Ila that's beside the point ,elewa theme of the post itselfMbona na wewe unaponda wakati huko USA ndio ulikopatia Elimu kama huku ni bora si ungeendelea kubaki huko Ifakara...
Lete picha ukiwa na boss ya Qatar.Aisee kwa hizi bata ninazokula huku abroad na maisha ya huku abroad daah sometime najilaumu kuzaliwa Tanzania sio kama nakufuru ila ndiyo uhalisia aisee
Mfano halisi kama bata langu nililokula qatar aisee sio poa nchi iko Well planned hamna longolongo kama hizo nchi zenu za kiAfika zimejaa siasa maji taka tu kiukweli maisha maisha ya Afrika ni hovyo sana narudia najuta sana
Marekani kwanza elimu ni bure na ni shule nzuri na za kuvutia hamna longolongo kuna uhuru wa kuzungumza na kuongea chochote kile
Nasema najuta sana kuzaliwa Afrika ni hovyo kabisa
Hakuna state yyte kule ambayo blacks ni majority ,labda California nlipokuwa na hapo latina community ndo wengi ,all other states ni white majority , na uwache kudanganya watu ,Georgia is one of the fastest growing states marekaniSi ndio hapo mkuu huyu jamaa shida anaishi zile state za Black America that too much violence na umaskini kama minesota,Georgia na state zingine za kimaskini
Sikujui wala Sina haja ya kukujua ,the world doesn't revolve around you lad, post yangu haikuwa yakukushambulia ww only myths pervasive in your argument .
The US debt level is the highest in the world ,gun violence is rife ,racism ,high education costs ,one of the highest costs of living miji Kama New York,San Francisco ,buying land is a headache kule ,point is a perfect society haipo ,shida zipo kila mahali .
Kule middle class wanaishi paycheck to paycheck ,salary ikichelewa tu crisis, ukienda madeni ,unapata mtu akona house mortgage,education mortgage,car mortgage acha ,salary zipo saw sema savings ni impossible na madeni kwa wingi.
Saizi wanalia inflation tu
Somehow uko na point ila ilikuwa lazima Uniite mjinga? How and whyHakuna state yyte kule ambayo blacks ni majority ,labda California nlipokuwa na hapo latina community ndo wengi ,all other states ni white majority , na uwache kudanganya watu ,Georgia is one of the fastest growing states marekani
We boya upo zako manzese uwanja wa Fisi unaishi ungekuwa huko hebu tuma picha yako ukiwa hukoNdiyo ni WaTanzania ila wapo london
Kila mtu na views zake. ..Kwanza kabisa nataka kudispell mambo mengi feki kwa hii post ,mm ni mzawa wa ifakara,morogoro Tanzania ,familia ye2 enzi hizo ilikuwa hatuna pesa,Ila mungu alinisaidia kupata wadhamini ,nimesoma kwa assistance mpaka masters level LLM,nchini marekani .
Life in the US to be specific on the surface appears all rosy but middle class na the poor and yes maskini wakutupwa marekani ni wengi Tena Sana ,it's a classic case of failed capitalism ,a simple Google search of homelessness itakupa clear cut disparities of poverty in the US .
Kwa pitapita zangu nlipatana na nurse in San Francisco , a whole educated nurse anaishi kwa gari design ya hiace ndio nyumba hyo , reason bieng skyhigh rental prices in that city ,ilibidi nikodi guest then [emoji23].
Gun violence,racism ,police harassment of people of colour, inflation ,poor pay , education ni way too costly ,bwana ndo ugraduate kule bila scholarship ni milima ya madeni.
The US ni rich on paper but kwa ground mambo ni tofauti Sana ,huko Qatar hitherto I will never ever live ,Sharia law za kisenge tu ,I wish waafrika wangejua how lucky we are ndio Kuna problems here and there but life is simple Sana huku ,I'd rather live in the land of my ancestors than scavenge in foreigners land ,huyu ni mjinga tu mweleweni
From the psychology point of view ...Sikujui wala Sina haja ya kukujua ,the world doesn't revolve around you lad, post yangu haikuwa yakukushambulia ww only myths pervasive in your argument .
The US debt level is the highest in the world ,gun violence is rife ,racism ,high education costs ,one of the highest costs of living miji Kama New York,San Francisco ,buying land is a headache kule ,point is a perfect society haipo ,shida zipo kila mahali .
Kule middle class wanaishi paycheck to paycheck ,salary ikichelewa tu crisis, ukienda madeni ,unapata mtu akona house mortgage,education mortgage,car mortgage acha ,salary zipo saw sema savings ni impossible na madeni kwa wingi.
Saizi wanalia inflation tu
Asa si Bora huyo nurse Ana gari, huku tz majobless wako kwa ndugu hawana job, kwahiyo ulidhani kila aliyesoma us atakuwa Ana kazi, eti wholy educated. Kwahiyo akili yako inakutuma kwamba kwa sababu Ni first world country ndo kunakuwa na 0 unemployment. Ulitaka rent iwe laki moja ili nchi iitwe first world au. Labda kapenda kuishi kwenye trolleys. Tena huyo mwenye trolley anaishi maisha mazuri kuliko mtz alopanga kwenye nyumba hukuKwanza kabisa nataka kudispell mambo mengi feki kwa hii post ,mm ni mzawa wa ifakara,morogoro Tanzania ,familia ye2 enzi hizo ilikuwa hatuna pesa,Ila mungu alinisaidia kupata wadhamini ,nimesoma kwa assistance mpaka masters level LLM,nchini marekani .
Life in the US to be specific on the surface appears all rosy but middle class na the poor and yes maskini wakutupwa marekani ni wengi Tena Sana ,it's a classic case of failed capitalism ,a simple Google search of homelessness itakupa clear cut disparities of poverty in the US .
Kwa pitapita zangu nlipatana na nurse in San Francisco , a whole educated nurse anaishi kwa gari design ya hiace ndio nyumba hyo , reason bieng skyhigh rental prices in that city ,ilibidi nikodi guest then [emoji23].
Gun violence,racism ,police harassment of people of colour, inflation ,poor pay , education ni way too costly ,bwana ndo ugraduate kule bila scholarship ni milima ya madeni.
The US ni rich on paper but kwa ground mambo ni tofauti Sana ,huko Qatar hitherto I will never ever live ,Sharia law za kisenge tu ,I wish waafrika wangejua how lucky we are ndio Kuna problems here and there but life is simple Sana huku ,I'd rather live in the land of my ancestors than scavenge in foreigners land ,huyu ni mjinga tu mweleweni
Sawa chawaAisee kwa hizi bata ninazokula huku abroad na maisha ya huku abroad daah sometime najilaumu kuzaliwa Tanzania sio kama nakufuru ila ndiyo uhalisia aisee