green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Nguo ya kuazima hai stiri viungoAisee kwa hizi bata ninazokula huku abroad na maisha ya huku abroad daah sometime najilaumu kuzaliwa Tanzania sio kama nakufuru ila ndiyo uhalisia aisee
Mfano halisi kama bata langu nililokula qatar aisee sio poa nchi iko Well planned hamna longolongo kama hizo nchi zenu za kiAfika zimejaa siasa maji taka tu kiukweli maisha maisha ya Afrika ni hovyo sana narudia najuta sana
Marekani kwanza elimu ni bure na ni shule nzuri na za kuvutia hamna longolongo kuna uhuru wa kuzungumza na kuongea chochote kile
Nasema najuta sana kuzaliwa Afrika ni hovyo kabisa
Kabisa life is all about enjoymentDr. We kula maisha ndg. Kusoma ni kuzuri sana. Ila ukifahamu kuwa kila binadamu awe mla bata au mla manyoya wote watakufa inakuwa haikuumizi kichwa... Yesu Kristo alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe akizungukwa na mavi ya ng'ombe... Huwezi amini kuwa Dunia hii yote ni yake. Hahahaaa!
Sasa unajutaje sasaNdiyo ni WaTanzania ila wapo london
Matumizi ya kinga kwa wanandoa yahamasishweAisee kwa hizi bata ninazokula huku abroad na maisha ya huku abroad daah sometime najilaumu kuzaliwa Tanzania sio kama nakufuru ila ndiyo uhalisia aisee
Mfano halisi kama bata langu nililokula qatar aisee sio poa nchi iko Well planned hamna longolongo kama hizo nchi zenu za kiAfika zimejaa siasa maji taka tu kiukweli maisha maisha ya Afrika ni hovyo sana narudia najuta sana
Marekani kwanza elimu ni bure na ni shule nzuri na za kuvutia hamna longolongo kuna uhuru wa kuzungumza na kuongea chochote kile
Nasema najuta sana kuzaliwa Afrika ni hovyo kabisa
Bora wewe uliyekaa huko ukisema watu watakuelewa.Kwanza kabisa nataka kudispell mambo mengi feki kwa hii post ,mm ni mzawa wa ifakara,morogoro Tanzania ,familia ye2 enzi hizo ilikuwa hatuna pesa ,nimesoma mpaka masters level LLM,nchini marekani .
Life in the US to be specific on the surface appears all rosy but middle class na the poor and yes maskini wakutupwa marekani ni wengi Tena Sana ,it's a classic case of failed capitalism ,a simple Google search of homelessness itakupa clear cut disparities of poverty in the US .
Kwa pitapita zangu nlipatana na nurse in San Francisco , a whole educated nurse anaishi kwa gari design ya hiace ndio nyumba hyo , reason bieng skyhigh rental prices in that city ,ilibidi nikodi guest then [emoji23].
Gun violence,racism ,police harassment of people of colour, inflation ,poor pay , education ni way too costly ,bwana ndo ugraduate kule bila scholarship ni milima ya madeni.
The US ni rich on paper but kwa ground mambo ni tofauti Sana ,huko Qatar hitherto I will never ever live ,Sharia law za kisenge tu ,I wish waafrika wangejua how lucky we are ndio Kuna problems here and there but life is simple Sana huku ,I'd rather live in the land of my ancestors than scavenge in foreigners land ,huyu ni mjinga tu mweleweni
🤣🤣 au yupo malinyi jua kaliiiUnakuta Jamaa yupo makete katulia anakuna mbupu tu
Ushauri ulionipa jana, nimeshaanza kuufanyia kazi. Shukrani zikufikie!Endeleeni kujifanya hamnazo ila siku nikawa moderator hamtakaa muijue jf (ilisikika sauti ya mwana jf mmoja)
Sent using Jamii Forums mobile app